Mwanaume ukiwa handsome, habari ya kuombwa pesa muda mfupi baada ya kutongoza utaisikia kwa wenzako

Na thread yangu haihusu ku-chase wanawake, nimetoa hii post ili wanaume wenzangu wasipoteze muda na pesa, wanapoona hizo ishara mbaya nlizoandika kwenye hii thread yangu Da'Vinci
Mimi ni mwalimu ninayependa kufundisha vitu nje ya syllabus. Halafu unaweza kuta wanafunzi wakapenda yale yaliyofundishwa nje ya mada. Sijui umenielewa
 
My smile kills them
iliika stage my patner akawa hataki nismile , Nicheke na wadada, ,
Tena ukiwa Funny guy 😂😂😂😂 utawakwaraaaa sanaa
 
Ni sawa na kuamini kuwa kila tajiri hatouona ufalme wa Mungu. Kuna watu matajiri, mahandsome, wachamungu, genius na Heaven wataingia pia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unacheka nini, ?
au huelewi maandiko juu ya tajiri kuingia ufalme wa mbingu???
 
Mbona mimi nina sura mbaya, sina pesa na nina mwanamke sio mrembo tu ila mzuri sana?! Acha kukariri
Yaani mkuu mimi wife ninaye mwaka wa 15 huu na ni kisu kwelikweli, ila mimi sina mvuto kabisa. Huwa namuuliza kwa nini alinipenda na siku zote jibu lake huwa anasema mimi ni smart upstair. So hakuna kingine kilichomvutia zaidi ya hicho na mambo yako poa kabisa.
 
Duh! Mimi sio handsome, pesa sina, gari sina Nitumie mbinu gani niweze kupata warembo wazuri wazuri, au nitumie mbinu ya Uongo mwingi na kujidai 'Afisa '
 
Kuna mwanaume Handsome, mwanaume mashine na mwanaume pesa

ukiendekeza uhandsome na umashine utakuta kijana amewekwa ndani na bi kizee kinamtunza

Vijana msipende miteremko
Mwanaume pesa mwanaume uweze kumkuna mwanamke ipaswavyo..

Alisikika bint mmoja akisema vijana wengi ma~handsome wanafeli hawamalizi dakika 90 za mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huu ndio ukweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2] mzee baba mbona kama hapa unatulisha matango pori siku tatu mme wake hakutoka hata nnje.[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Principle hua ni hivi mwanaume handsome hua wanakuaga na wanawake wabovu na wanaume wenye sura za lazi hua na mademu wakali..kama unabisha anza kuangalia kuanzia leo kuanzia kwenye social media na maisha ya kawaida kiujumla hii ni kwenye mahusiano ya kawaida na hata kwenye ndoa...90% hua ni hivyo..10% hapo tunazipa exceptions za hio general rule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…