Mwanaume ukiwa handsome, habari ya kuombwa pesa muda mfupi baada ya kutongoza utaisikia kwa wenzako

endelea kupaka poda na kujilamba midomo kama akina Jux maanaa naskia vijana wa dar nao wana *bright future behind them*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa handsome bila pesa ni sawa na gari bila mafuta.
Ukiwa na wallet iliyonona wewe ni handsome automatically.
Binafsi sio handsome na siombwi ombwi pesa na ukileta habari za kuomba omba itakuwa ndo ticket yako.
Kila mmoja avune alipopanda.

GOD is GOOD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…