Mwanaume ukiwa huna pesa unakosa nguvu ya maamuzi kwa mkeo

Ni wanaume wachache wasio na uwezo wanafurahia maisha ya ndoa, wengi wao wanapitia stress.
Ni kuomba tu Mungu akujalie mwanaume kama hujaoa basi upate mke mwema ambaye atakuheshimu na kukupenda kwa kiasi kile kile hata siku maisha yakiyumba.
Mwanamke hajui kupenda zile ni hisia zinatokana na ukaribu wenu. Mwanaume lazima asimame juu ili mwanamke amtii kinyume na hapo unatafuta stress
 
Mbaya zaidi, kwenye tendo unaweza ukapewa rikizo
 
Ficha maumivu yako,mwenye kuelewa ulichojibu anajuwa unayoyapitia...
 
Ni vigumu kupingana na asili ya uumbaji
mkuu kuna nadharia nyingi ambazo mwanadam kamsingizi mungu kupitia maandiko kua ni za asili ya uumbaji bt kwa ukuaji wa science na teknolojia naona kama zinapwaya.

#mfano maandiko yalimuona mwanamke ni duni na hafai kuongoza bt mbona sasa wakipewa nafasi ni viongozi wazuri.

#mwanaume kula kwa jasho, hii nadharia inafanya kazi kwa wanaume wachache waliofeli kifikra katika kuzitumia bongo zao, wengi wanaozitumia bongo zao hawali kwa jasho kamwe na kuna watu tangu kazaliwa mpaka anakufa hajawahi kula kwa jasho je hawa si wanaume?

#kuzaa kwa uchungu, science pia imetuthibitishia kua kuna uwezekano mwanamke akazaa bila uchungu na tunakoelekea nadhani njia hii itatumika maana itawaepusha wanawake na hatari zitokanazo na matatizo yakujifungua.
 
Sema mambo saivi yamebadilika, pesa imekua ndio inaleta heshima kwa mwanaume. Too bad
 
Maendeleo ya mwanamke nyuma kuna mwanaume,kama sio wewe, yupo aliyejificha.
 
Mwanamke hajui kupenda zile ni hisia zinatokana na ukaribu wenu. Mwanaume lazima asimame juu ili mwanamke amtii kinyume na hapo unatafuta stress
Tunajua kupenda tena sana, hasa tukiwa treated vizuri na heshima inakuwepo ndani kama kawa hata bila kutumia mabavu
 

Ataanza kukuheshimu akishazeeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…