Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,109
Sikuzote hawa wenzetu huongea kinyume, ukikutamkia anakupenda jua hupendwi,akikutamkia hakupendi jua unapendwa.
Jitahid umakinike na matendo yake na sio maneno yake wanaume weng mmeingia kwenye migogoro kisa kushindwa kuwajua watu wenu
Jitahid umakinike na matendo yake na sio maneno yake wanaume weng mmeingia kwenye migogoro kisa kushindwa kuwajua watu wenu