Mwanaume unajuaje umegusa kizazi/yai la mwanamke wakati wa kujamiiana?

Huyo Habib ni yule jamaa aliyemsumbua sana Jack Bauer na codes sijui za Nuclear baada ya kushusha Airforce one?
Duh,umetisha sana,tutakuwa tulikesha wote enzi hizo kuanglia miujiza ya Bauer,24

Habeeb Marhan
 
A calculated risk is a risk taken with full knowledge of the dangers involved.
 
Kiazi ndo huwa mnakigusa ila sio kizazi



acha uongo
 
Mh kitu ambacho hakipo hata iweje huwezi gusa.mfano mwanaume mwwnye mpini waburefubwabfuti 7 akisukuma demubmpaka mwiaho tuasikia demu anaguna kuonyenaha kuumia je unafikili hapo ndio kwenye mji linapoaubiri yai shahawa hapana ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kugusa yai, unapotoa mbegu zako, husafirishwa kwenda kukutana na yai ili kulirutubisha. Kuna mirija inayofanya shughuli hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Quiz Ya Leo Hatar Sana Vijana Wanatafuta Working Experience.
 
Kama mwanamke hajawahi kulalamika unamgusa kizazi ujue uume wako ni mfupi... Wenye mashine kuanzia inch 7 ndio wanaielewa hii habari... Huna haja ya kuuliza.... Utamuona mtu amekunja sura utafikiri anakamuliwa jipu.... Au wengine atakupiga mpaka kibao huku anakwambia unanigusa kizazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unahitaji picha na maelezo ya kutosha. Kizazi, yai, uke....unahitaji maelezo yenye picha.
 
mkuu labda umeshindwa kuelewa vizuri ni kuwa kile kinachoguswa huwa ni mlango wa kizazi yaani (cervix) na si kizazi chenyewe ni kwa kuwa huwa cervix ina tabia ya kujivuta flani yaani kuna staili ukimuweka mwanamke mfano kifo cha mende au mbuzi kagoma huwa cervix inajivuta kuja nyuma sana na hivyo kufanya wakati wa kujaamiana uume uiguse hiyo cervix na sio yai ama kizazi kwa kuwa kizazi kipo kwa ndani zaidi mkuu. na hata hivyo mpaka uguse hiyo cervix yenyewe inakubidi uwe na mashine kweli kweli mkuu kwa kuwa ipo kuazia 8 inches na kuendelea.

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 


hhahahha mwenzako alijumlisha na YAI haaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…