Yai Huwezi kiligusa kirahisi hivo wewe .ila mlango wa shingo ya kizazi kugusa inawezekana kabisa pia hutegemea Urefu wa machne
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke akiguswa kizazi na U*boo wa Mwanaume anaweza piga ukunga hadi kilometer 5 wakasikia.Wenyewe wenye kiungo husika, yaani wanawake, hawajui kama hapa ninapoguswa ndiyo kizazi(yai).
Kila mwanamke ninayekuwa naye faragha nikimuuliza nakigusa kizazi chako?, hajui, anabaki anantolea macho tu.
Kwa sababu wanawake wengi hawajui ndani ya maungo yao, labda wanaume wenzangu mmeshawahi ku experience kugusa kizazi cha mwanamke?
Twende kazi
sasa unataka umguse ili iwaje!
Na mnapokichokonoachokonoa hvo mtasababisha watu wapate canser ya kizazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke akiguswa kizazi na U*boo wa Mwanaume anaweza piga ukunga hadi kilometer 5 wakasikia.
Kaka yangu kabisa aliachwa na Mke wake kwa kuandikiwa barua kuwa
"Sina kizazi cha kudondoshea hapo kitandani"
Na pia shem akamtumia mama yangu msg kuwa Ndoa na Mwanao imenishinda. Na hapo tayari walishazaa mtoto mmoja.
Hiyo ni kwasabb broh ana mkono wa mtoto mkubwa mno na alipewaga kirubber cha kuvalisha kwny ub*oo kama pete...ila ikawa inamshinda kwsbb anasema akiivaa kisha ub*oo ukasimama inamuumiza sana.
Daktari ilifikia mahali akamwambia tu basi awe anabalance na kuishia nusu.
Kuna kipindi huyu mwanamke alikuwa hadi asubuhi akiamka anashindwa kwenda kibaruani.
Nilishaelezea hili hapa kwajili ya kuhitaji ushauri kwa broh wangu.
Thanks Dr.Hii mada mnajadili kitu kinaitwa VIA vya Uzazi.
Via vya uzazi ni viungo vinavyohusika na uzazi.
Kuna aina mbili ... Via vya kike na kiume.
Hutambuliwa kwa makundi mawili yaani Via vya ndani na Via vya nje.
Sasa kwa mwanamke.
Via vya nje
- Mashavu (Labia Major and Minor)
- Kisimi (critoris hasa anapotoa maji ya furaha yake - kupiz)
Via vya ndani
- Uke (tundu la uke linalopitiwa na uume )
- Shingo ya kizazi (Cervix- tundu dogo ambalo ndio mwanzo wa kizazi / Uterus ambalo hupitisha mbegu ya kiume, damu ya hedhi, mtoto anaezaliwa nk
Hii shingo ya kizazi ipo juu ya uke kwa ndani hivyo unapofanya majamiiano unaweza igusa - inamaumivu hata kizazi kinaposafishwa huguswa na inamaumivu hata wakati wa vipimo kama saratani ya shingo ya kizazi huwasababishia maumivu.
- Kizazi (uterus) hii ni nyumba ya mji wa mimba. Nje ya kizazi kwa pembeni (right&left sides ) kuna mfuko wa mayai (ovary) na juu ya kizazi kuna mirija ya mayai (fallopian)
Hivyo yai hutoka kwenye mfuko wa mayai hurukia kwenye mirija. Hukaa hapo kusubiri mbegu yaani week ya pili tangu headhi. Mimba hutungwa hapo kwenye mirija ndipo hushuka kwenye mji wa mimba kulelewa.
Mbegu isipo lifikia yai. Hushuka kwenye mji wa mimba na kupasuka ndio hedhi.
Dr.M.
Sent using Jamii Forums mobile app
kizaz ni Sawa na mji wa mimba (uterus) yai ni muunganiko wa seli x zilizopevuka kwa ajil ya urutubishaj toka kweny mbegu za kiumeHebu fafanua kwanza
Kizazi ni nini
Yai ni nini
Au vyote unamaanisha ni kitu kimoja?
Huwezi kuwa na uume mrefu hiyo ukagusa kizazi,na yai la mwanamke ni dogo sana kiasi hataingetokea kugusa basi huwezi hisi chochote, ila kwa wenye shafuti ndefu akakutana na mwenye uke mfupi anaweza akagusa mlangoni yaani "Cervix"Nimeshawahi sikia mara nyingi tu kwamba, wakati unajamiiana na mwanamke, unakuwa unagusa kizazi, yaani yai la mwanamke.
Utajuaje kama hiki nilichokigusa ndiyo kizazi cha mwanamke?
Asante.
exactlyHuwezi kuwa na uume mrefu hiyo ukagusa kizazi,na yai la mwanamke ni dogo sana kiasi hataingetokea kugusa basi huwezi hisi chochote, ila kwa wenye shafuti ndefu akakutana na mwenye uke mfupi anaweza akagusa mlangoni yaani "Cervix"
Sent using Jamii Forums mobile app
Huitwa GOROLIIII (GOLOLIIII)Ninacho target mimi, namaanisha kile kizazi kilicho ndani ya uke, au namaanisha kizazi kinachoguswa na uume wakati wa kujaamiana. Kiwe kizazi, au liwe yai, vyovyote vile ni sawa, ili mradi iwe kinachoguswa na uume wakati wa kujamiiana.
Zaidi tu, kama nimewakilisha maneno vibaya, unaweza kuweka sawa, halafu tuendelee.