Mwanaume unakunywaje lite?

Nakunywa bia ili iweje??
Acha akili za kitoto na ushamba dogo.
 
Mkuu kupanga ni kuchagua
 
Mkuu, mimi nilikua kama wewe, enzi hizo napiga safari kubwa nikimuona mshkaji anagida hizi lite nilikua namuona kama manzi.
Lakini sasa sijui ni kukua au vp nikaona hizi lager hazinifai ni kali sana nikahamia Kilimanjaro nimezitwika weeee mwisho wa siku naona inatosha na zenyewe ni kama zinaenda kunishinda.
Sasa hivi napiga zangu Castle lite tena barrrridi. Hakuna hangover wala wenge.
Kwahyo we piga tu mkuu muda ukifika utakuja tu huku
 
Kwani kuna sehem nimempangia mtu anywe bia gani?
Hilo bichwa lako ni mzigo


"
Wakulungwa,
Hivi serious unatoka unaenda agiza serengeti lite/castle lite/kilimanjaro lite na zingine zinazofanana na hizo?
Kweli?
Kweli?
Kweli?
Hata kama pesa ni yako, hizi lite si sawa na maji? Demu wako anywe lite na wewe lite? Si aibu hii?"

KWA HIYO HAPO JUU HUJAWAPANGIA WATU ? AU WEWE NDIO BICHWA LAKO NI MZIGO?.
bY THE WAY WEWE BWANA MDOGO NAKUSHAURI TU WANAUME WA UKWELI HATUJISIFII MAMBO YA POMBE
GROW UP DOGO JISIFIE MAMBO YA MAENDELEO SIO KUJISIFIA KWAMBA SINYWI POMBE FLANI
INAONEKANA UNAUSHAMBA FLANI WA MAISHA KAMA NDIO UMEPATA KAZI UNAANZA MAISHA TULIA ACHANA NA HUO UTOTO.
NI UTOTO KUJISIFIA MAMBO YA ULEVI , KAMA NDIO UMEANZA KUNYWA HIVI KARIBUNI EMBU HESHIMU WANYAJI WENZAKO
 
umekula kwanza leo?
Acha kelele njoo nikununulie bia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…