AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 Oct 21, 2026 #1 Music,movies,mpira ya aina zote hua inaleta burudan,furaha na msisimko mwisho watu hufurahi,huuzunila,hushangilia na kuzomeana JE WENZETU MNAONDAGA KUWATAZAMA MAMISI NA MAMODO hua mnapata nini?
Music,movies,mpira ya aina zote hua inaleta burudan,furaha na msisimko mwisho watu hufurahi,huuzunila,hushangilia na kuzomeana JE WENZETU MNAONDAGA KUWATAZAMA MAMISI NA MAMODO hua mnapata nini?
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,587 Reaction score 14,371 Oct 21, 2026 #2 mwenyewe huwa najiuliza swali hili
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 Oct 21, 2026 Thread starter #3 Au kunakuaga na agenda za siri kule?
1academ JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 2,682 Reaction score 4,343 Oct 21, 2026 #4 kwenye shoo mauno yale ni nomaa mazeee, binafsi mhogo wangu wa kikurya huwa unadindisha hataree mle
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 Oct 21, 2026 Thread starter #5 Kwaiyo wanaume wanaenda kudindisha mihogo?
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 11,056 Reaction score 37,608 Oct 21, 2026 #6 kuna fursa za hatari kwa kwenye akili lakin
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 Oct 21, 2026 Thread starter #7 Fulsa ipi inayopatikana?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 24, 2026 #8 Warembo wanavyotingisha vitako wakijipitisha kwa kutembea... Cc: Mahondaw