Mwanaume usimuanike mpenzi wako mitandaoni

Jirani usipost pesa na mpenz, watamnyakua nyaku ubaki unatoa macho.

Sifuatilii maisha ya watu, ukishaweka kitu status umeweka public.
Naweka na ntaweka siogopi lolote, km wa kunyakuliwa atanyakuliwa tyuu!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Andiko saaaafi,na mwenye kusoma atakuwa kaelewa
 
Mademu wahuni wanapenda sana tuwe tunawaanika waonekane.
 
Umeandika vyema sana. Ila shida sio kuwaanika bali tabia zao.

Background za hao wanawake zikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…