Mwanaume usimuanike mpenzi wako mitandaoni

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mpk kifo kitakapo tutenganishaaa๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„watu waache kucomplicate Mambo...life is too short to stress yourself๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œwazungu wanasema enjoy ze moment...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Exactly ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Yani akifa napiga naye picha ya ukumbusho ninavyoaga na ninavyoweka mashada..!!
Na nikitulia naweka status โ€œR.I.P My lovely bebiiiyโ€ Atakayeumia akamfufue anirudishie tuendelee kupostiana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Tenaaaaaa๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ
Yani kabla ya kupost Ash Wednesday naanza na kumpost yy kwanza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hata km atapostiwa na wengine, na mi nampost ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ
 
Mtuache tupostiane jamani..na uzee huu bado tunapostiana sana tuu..yani tushazoea...nadhani hata hao wanaopostiwa then wakaliwa au wakatoroshwa ilikua tuu ni mipango yao ya muda mrf au ndo tabia zao..yani usipost unachokifurahia kisa nini?.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hapo Kwa docta mwaka ,alikuwa Muuza madawa ya nguvu za kiume na mshaurii mkuu wa mahusiano na ndoa Badoo kalaaa za kichwaaa,,maishaaaa hayaaaa
 
Mke wa Niki aliliwa na nani?
 
Ndo ujue watu wako busy kufatilia hata visivyopaswa kufatiliwa bff ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ni muigizaji wa bongo movie ana vimisemo vyake vya kiswahili
Halafu huyu mtoa post anasema tusipostiane Ana maana gani lakini
 
Mpost hata kama amekuacha we mpost tu kikubwa mtu apostike
 
Penzi hata liwe tamu vipi usili-post unakaribisha wachawi.

#HASIDI HANA SABABU.
 
Mtuache tupostiane jamani..na uzee huu bado tunapostiana sana tuu..yani tushazoea...nadhani hata hao wanaopostiwa then wakaliwa au wakatoroshwa ilikua tuu ni mipango yao ya muda mrf au ndo tabia zao..yani usipost unachokifurahia kisa nini?.
Post lakini zingatia caption kuna leo na kesho.
 
Huoni unajitesa kufatilia mambo ya watu??
Jirani unahifadhi picha ya watu wasiokujua unaacha kuhifadhi picha za wazazi wako ili baadae uonyeshe watoto na wajukuu zako.???
Jirani hapo sikuungi mkono ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Jirani usipost pesa na mpenz, watamnyakua nyaku ubaki unatoa macho.

Sifuatilii maisha ya watu, ukishaweka kitu status umeweka public.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ