[emoji847][emoji847][emoji847]Nipe location yako, nikiwa field maeneo ya location yako nakupikia kile roho inapenda.
Mbeya maeneo gan mkuu. Nami Niko huku[emoji120]
Majirani hawakukugongea geti kwa kuchafua hali ya hewa?Bi mkubwa kanifundisha kupika nikiwa mdogo sana,pia alipokuwa anakuwa zamu kazini mzee alikuwa akinipikia vizuri so nilijua ving nikiwa shule ya msingi.Na nikabahatika kupita seminari hvyo nikaongeza ujuzi zaidi..Vyakula vingi nafahamu namna ya kupika kwa mapish mbalimbali.
Sometimes naamua kuchanganya tu hiki na kile natoa chakula fulan kipya ambacho sijawah kula, maana chakula cha namna fulan ni mchanganyiko tu wa vyakula vingne tofaut kwa namna inayofaa.Mfano juz nimechanganya yai + maharage + chainizi unavikaanga kinatoka kitu fulan,msosi mpya naenjoy.
Napenda sana kupika,kuwapikia watu na kula chakula nikipikacho.
Wanaume kama nyie mnafaa Sana[emoji122]Bi mkubwa kanifundisha kupika nikiwa mdogo sana,pia alipokuwa anakuwa zamu kazini mzee alikuwa akinipikia vizuri so nilijua ving nikiwa shule ya msingi.Na nikabahatika kupita seminari hvyo nikaongeza ujuzi zaidi..Vyakula vingi nafahamu namna ya kupika kwa mapish mbalimbali.
Sometimes naamua kuchanganya tu hiki na kile natoa chakula fulan kipya ambacho sijawah kula, maana chakula cha namna fulan ni mchanganyiko tu wa vyakula vingne tofaut kwa namna inayofaa.Mfano juz nimechanganya yai + maharage + chainizi unavikaanga kinatoka kitu fulan,msosi mpya naenjoy.
Napenda sana kupika,kuwapikia watu na kula chakula nikipikacho.
Wewe upo maeneo gani?Mbeya maeneo gan mkuu. Nami Niko huku[emoji120]
Naish mitaa ya meta, makazi uhindini (mjini)
Hahaha!Imeishaa hiyooo, ngoja kipupwe kiishe, baridi la Njombe lilinikomesha sirudii tena kuja Nyanda za huko msimu wa baridi.
Oh sawaNaish mitaa ya meta, makazi uhindini (mjini)
Majirani hawakugongea geti kwa kuchafua hali ya hewa?
Karibu sanaOh sawa
Nitakaribia siku moja.
Niliwahi kuishi Kota za loleza miaka ya nyuma sana.
Huko uhindini nakujua vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serious combo, a fart trapFarting is another type of sneezing...
Yeah, that way.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Serious combo, a fart trap
Koti moja tu linatosha[emoji4]Nagoja iishe, sipendagi kuvaa nguo zaidi ya 4 mwilini.
Mbagala maji matituz.
haha hawakugonga mkuu,wamezoea kuchafuliwa hali ya hewa.Majirani hawakukugongea geti kwa kuchafua hali ya hewa?