Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
sio dogo ana miaka 38
Samaki mmoja akioza wote wameoza, kwa hiyo wewe upo kundi lipi hapo ili nikutoe.
fukuzia mbali kama ubaya na iwe ubaya
cha kujifia nini? hv na unyumba unampa?
Kwahiyo na wewe kama jamaa tu? Kazi kulelewa na mwanamke?
Mimi sipo kwenye kundi lolote. . . najitegemea!!
Mi nalea wanawake mpaka na kazi namwachisha kabisa unaweza pata bahati hiyo ya kulelewa na mwanaume
Wanaume suruali kivp? Mbona hata wanawake siku hizi mnavaa sarawili!!
Fidel huwajui, ni aina ya wanaume wakivaa suruali tu, wanajiona wamekamilika, tabia zao wanapenda sana kuhudumiwa, kubembelezwa, kulia lia
Nwy kulelewa sio jadi yangu. . .hata wazazi walishaacha zamani. Na wala sio bahati ni ulemavu wa aina yake.
Lizzy hupendi kulala vizuri kula vizuri kuenjoy maisha n.k? Njoo basi nikuhudumie mama watoto
sio wanaume wote ni wanaume
Kama unataka kunihudumia njoo unisaidie kupiga deki kwangu ndio ntakuona wa maana, pesa sio ishu.
Tatizo liko wapi hapo sasa - ampe jukumu la kulea mji. Hii mitizamo ya kila mwanaume ni mchapakazi inakosea sana. Wengine hawana hulika hizo - ndio walivyo. Kama anapenda kukaa kaa tu awe baba wa nyumbani!
Tatizo liko wapi hapo sasa - ampe jukumu la kulea mji. Hii mitizamo ya kila mwanaume ni mchapakazi inakosea sana. Wengine hawana hulika hizo - ndio walivyo. Kama anapenda kukaa kaa tu awe baba wa nyumbani!
ndo maana mi nakagua hadi ukucha? je ni wa kiume kweli? watu wanadhani wanaume woote ni wanaume.kuna mwanaume akikuangalia tu unajua huyu sio wa kiume mbona macho tu unajua hii bidhaa ya kichina hii.Kila siku huwa nasema hili
"SI KILA ANAYEWEZA KUMTIA MWANAMKE MIMBA NI MWANAMME"
Tukusaidiaje hapo, ulikosea mchezo toka mwanzo, labda a divorce will do you good.
Nina rafiki yangu ana babzazi wa aina hiyo
Mumewe kakataa talaka
Kang'ang'ania hadi kufa
kasema la sivyo amuachie nyumba alojenga huyo dada.
Sababu yeye ana kazi atajenga nyingine.
Akina marioo ni fasheni shoo tu, ndoa HELL NO.