Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hii ajali ilitokea juzi maeneo ya kilimanyege. Ilikuwa mbaya sana...si tumefika pale kwenye ajali tulikuta watu wamejaa hasa.
Nlishangaa kweli siku hizi hamna wanaume. Jamaa mmoja analia sana huku ana ruka ruka kumbe amekatika kidole gumba kinatoka damu. Ndo kumwambia.
"We mwanaume mzima huoni aibu umekatika kidole gumba tu unalia mwanamke kakatika kichwa amenyamaza tu, jikaze mtoto wa kiume"
Mara akaja mwandishi wa habari.akawa anamhoji konda ilikuaje na mwishowe ndo akawa anatangaza kuwa "wamefariki watu watatu na mmakonde mmoja"
Kuna jamaa pembeni alipaniki sana" kwan mmakonde chi ntu?kwani mmakonde chi ntu?kama chi ntu basi ni njigo,na kama ni njigo bachi chilipi nauli" watu walisikitishwa sana na ile kaul ya mwandishi.binafsi sikuwa najua wamakonde wanaongeaje ndo nikamuuliza jirani "hivi unajuaje kuwa mtu ni kabila la kimkonde!" Ndo akanambia eti wamakonde hawawezi tamka M.wao wanatumia N. Mfano neno Mtwara wao watatamka Ntwara.
Hapo hapo nikataka uhakika kama ni kweli nikamsogelea abiria mwingine anithibitishie alichonambia huyu jamaa. Nikamuuliza "samahani, eti ni kweli wamakonde huwa hawawezi tamka neno M badala yake wanatumia N? Akanijibu
" inategemea na Ntu na Ntu"