Mwanaume wa kunifuta machoz

magila

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
37
Reaction score
4
Goodmorning mimi ni mwanamke umri 28.ni mama wa mtoto moja ninatafuta mwanaume wa kunifuta mchoz baadae awe mume wangu.umri wake uwe kuanzia miaka 35 mpaka 50.
asanten na sku njema
 
Umenipata. Nitakufuta hadi makamasi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahaha nipo serious ndo mana nkataja mtu mzima@sumu
 
nina 22 ila nauwezo wa kutimiza yote uyatakayo na kukufanya uwe nafuraha daima katika maisha yako, kama upo tayali kunielewa ni PM . Sawa magila
Goodmorning mimi ni mwanamke umri 28.ni mama wa mtoto moja ninatafuta mwanaume wa kunifuta mchoz baadae awe mume wangu.umri wake uwe kuanzia miaka 35 mpaka 50.contact me hapa magilatuli@yahoo.com.asanten na sku njema
 
Last edited by a moderator:
Kwani kila muitajipo wanaume munaanza na wazee? Acheni hizo hata sisi vijana tunazihitaji fursa hizo
 
ah ah! Komalia tu hata kama huja kizi vigezo, mzamie PM then mupe CV ambayo anaihitaji, siku mkikuta una mmbananisha hadi anaeleweka
Kwani kila muitajipo wanaume munaanza na wazee? Acheni hizo hata sisi vijana tunazihitaji fursa hizo
 
Nyie watoto mna mambo nyie .mkikua mtayaona wadogo zangu@kitoabu na aroak
 
Niko more than serious ndo mana nahtaj mzee mwenzangu.ili tuje kuzikana
 
Hapo sawa, ujue nini magila ! Ukweli mapenzi ya dhati huwezi determine kwa umri tu, unaweza pata hata wa miaka 50 na usi zikane nae, cha msingi nikupata mtu sahihi mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kutambua thamani yako kama mimi na kushirikiana pamoja kujenga familia imara kwa msaada wa Mungu. Ni pm tuongelee huko hapa hua kuna vitoto vingi vina chungulia
Heshma yako hiroak.
 
Last edited by a moderator:
Yes ila sijui kuanza kupm heb anza then nireply.
 
Kwani kila muitajipo wanaume munaanza na wazee? Acheni hizo hata sisi vijana tunazihitaji fursa hizo

Dogo umenichekesha sana, thanks, kama vile nakuona ulivo serious. Usihofu muda wako utafika na wewe utakuwa mzee uzee hujazi fomu. Halafu vilevile kuna wanaotaka vijana humu JF.
 
Awe na afya gani maana hawo waliotulia baada ya kuambukizwa HIV nao wakutafute?
 
Weka namba hapa siyo email. We ni mkazi wa wapi na dini gani?
 
Ni kweli mama, vijana wa siku hizi hawana mapenzi ya kweli!! Mimi nawajua vizuri sana! Wakadanganyane huko FB! Hakika mtu mwenye umri huo ni lazima awe amekutana na vikwazo/majaribu mengi maishani!! Lazima mtaheshimiana!!
 
"hongera kwa maamuzi yako but nashindwa kukupm kwa vile sijaona cv zako,uko mkoa gani,level yako ya elimu na unafanya nini?naomba majibu kwanza!"
 
Hahahahaha@kitoabu wamekutenga bwana hawajui vijana damu moto speed 120
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…