Mwanaume wa kuzaa nae!


KAribu sana njooo inboboo madam....
 

Nime-fit nyanja zote, ngoja nipige jaramba kwanza nakuja!!
 
Wanaume wote mtaani hukuona wa kukuzalisha bidada mpaka unakuja kutafuta humu?

Kweli haya majanga, ukifanikiwa kupata usiache kutupa mrejesho.
Unaposema mtaani unakosea.Popote anaweza akampata hata hapa tulipo
 
Unaposema mtaani unakosea.Popote anaweza akampata hata hapa tulipo
Ni kweli kiongozi, popote unaweza kupata lakini sio kwa namna hii mpaka kuweka matangazo... Watu watajiuliza maswali mengi yasiyo na majibu.
 
Hivi kuna njia ya kuthibitisha kabila la mtu?!
 
Na ww sofa zako weka bayana, sarafu ina pande mbili
 
Afadhari wangoni hatujatajwa... Nina vigezo vyote tajwa.. NJOO INBOX
 
Ndo nyie waiba nyota za wanaume punde wanapolala na nyie ,,,katafute hao wanaume huko uswahilini sio humu kwenye great thinkers
Tutashudia mengi awamu hii. Yaani mpaka Magu akatoboe, tutakuwa tumeshuhudia mengi sana.
 
Nipo mama karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…