Sifa za mwanaume wa kweli
1) Ana uhusiano na Mungu
2)Ana uhusiano na wazaz wake vzr
3)Ana uhusiano na jamii iliyomzunguka,
4)Ana uhusiano na wafanyakazi wenzake vzr.
NB: ana msikiliza mpenzi wake,ana mjali mpenz wake,ana msaidia mpenz wake,msafi,ana kazi halali,hanywi pombe,havuti sigara,,hakeshi bar,hakeshi kwenye mipira,hapotez muda kwa masuala yasiyo na tija,ni mbunifu,ana jua kusaidia wenye matatizo,ana sikiliza wengi na hana dharau kwa yyte. Lazima atakua amevaa saa mkononi...
Haya nilibadilika baada ya kuoa
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]