Somoe
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 754
- 282
Nimesoma malalamiko mengi humu JF.
Wanawake wakilaumu kuwa wanaume wa Jf ni balaa, mabomu, wanataka sex tu, waongo, walaghai nk
Na wanaume wakilalamika kusema wanawake wa JF ni noma, m-pesa na matatizo yao ya kipesa umtupia mchumba.
Hii ikanipata nami niweke tangazo ili nione kama yote yasemwayo humu ndani ni kweli ama!!!
Kuna kaka mmoja alisema kuwa watu wanaweza kucommet mpaka tangazo lenyewe utalipotezea.
Na hilo ndio nililoligundua humu ndani, maana kuna watu wanakuja kufanya fujo ktk matangazo ya watu.
Mtu anatangaza anataka ng`ombe wao wanamshauri anunue mbuzi.
Na kumkashf na kumbambikia mtu tabia ambayo halingani nayo kabisa, kwao sio tabu.
Mitandao mingi ulimwenguni jukwaa la kutafuta mchumba/mpenzi, msomaji tangazo hapewi possibility ya kucomment kitu chochote ktk tangazo hilo. Cha kushangaza JF inaruhusu wasomaji matangazo ya uchumba, wacommet hayo matangazo. JF inauwezo mkubwa wa kuzuia watu wasiweze kucomment hapa love connect. Lakini JF haichukui hatua yeyote ingawa watu ulalamika.
MASHART
Kama mtu anataka mkristo ama muislam, mweupe ama mweusi, mrefu ama mfupi, mchaga ama msukuma, tatizo la mtangazaji, kama hakupata anachotaka, siku ingine atabadili mawazo yeye mwenyewe bila kushauriwa na mtu. Lakini watu wengine wa JF wanafikiri ni jukumu lao kumshauri na kumlazimisha mtu hasitoe mashart. Ikiwa mashart ndio mstari wa kufuata kama unamtaka mtu yule, ukiona mashart magumu kwa huyu basi unaenda kusiko na mashart magumu.
TABIA YA MTU
Hapa JF wanaweza kumtangazia mtu ana VVU, na malaya la kutupwa ingawa yote ya kutunga ili kumuaribia mtu.
Munao tafuta wachumba hapa, mutakabiliana na mengi kiasi ya kwamba mutaishia kudharau watu wa humu ndani, na kuipotezea.
AINA YA WATU WA HAPA
Vile vile nimegundua watu wengi humu ndani wameoa na kuolewa, wanakuja kuchezea watu, kuchezea mawazo ya watu, na kulaghai watu.
Wanawake wanakuja kulaghai wanaume kipesa, na wanaume wanakuja kulaghai wanawake ki sex tu basi.
Wakikuona mtu mgumu hauendi uko wanakotaka, ukuvamia na matusi.
Na vile vile kunamchezo wa kumbambikia mtu mchumba, yule unaeongea nae sio yule utakae kutana nae. Kwaiyo ukiwa na mashart mengi, unawawekea ugumu sana. Wao wanataka mkokoteni raisi kusukuma, ila akiona wewe ni Fuso nae leseni hana, atabaki anakuzunguka zunguka tu, na ndio hapa utambamba kama ni tapeli.
Mtu mwema haombi pesa, na wala haombi sex, na wala hacomment ili kukupindisha ukate tamaa ili ujione haupo sahihi na umkubali yeye.
Na kuna wengine ubadirisha Usename, atajulikana jina la Abedi anajibadilisha kuwa Jack baadae atajibadilisha kuwa steven, atajibadilisha atakuwa Ali tajibadilisha atakuwa Carolyn. Na hata email ubadilisha badilisha.
Haya ndio maisha ya love connect.