1; Mwanaume kulala
kitandani uwo ni
umama mwanaume
unatakiwa ulale
makaburini miguu
unaning'iniza
kwenyve msalaba
2; Mwanaume kuhema
kila siku ni umama
Mwanaume
unatakiwa kubana
pumzi mpaka
parapanda
itakapolia.
3; Uanaume ni kuingia
na upupu chooni kwa
kuchamba na siyo
kuingia na maji
4; Mwanaume ukiumwa
kwenda hospital n
umamaa Mwanaume
unakula mizizi ya
mwarobain na
mualovera
5; Mwanaume ukiambiwa I MISS U.. una reply I MISS U TOO ni umama Unatakiwa useme UNATAKA SH NGAP??
6; Mwanaume unakutana na Dada kajipaka MAke up Afu unasema waoooh umependeza huo ni umama Unatakiwa useme Waooh nice photo.