Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
ADUI WA KWANZA MAGONJWA
Magonjwa ni adui namba 1 wa uume wako. Magonjwa ya sehemu za siri, magonjwa ya mwili. kwa ujumla, na magonjwa ya wanaume kama - tezi dume ni adui wa uume wako. Ugonjwa kama kisukari na presha, figo na ini kutokufanya kazi vizuri LAZIMA uume uwe dhaifu. Kuna magonjwa mengine pia kama viupele vya ajabu ajabu huko kwa babu pamoja na ugonjwa wa bawasiri. MAGONJWA HAYA LAZIMA YATIBIWE HARAKA.
ADUI WA PILI ULEVI NA SIGARA
ulevi haufai kabisa kwa afya ya uume wako. Ulevi unakufanya uwe mlaji wa nyama hasa nyekundu, unakuwa sio mwepesi wa kunywa maziwa na kula matunda, nakuwa mzembe wa majukumu yako ya ndani, unapata vitambi, unaharibu
balansi ya homoni >> unaelekea upotevuni” Kunywa maji ya kutosha, maji fresh ili
kuuburudisha mwili na kuondoa msongo wa mawazo.
ADUI WA TATU PUNYETO NA MICHEPUKO
Watu walionishuhudia ambao walifungwa katika minyororo ya kufanya punyeto hadi mara 6 kwa siku, waliokuwa wanafanya hadi vyoo za ofisini na wengine kujificha hata majumbani wake zao wakiwa wamelala au hawapo. Vijana wa boarding school na vyuo, mabachela na wengineo wanatoa shuhuda zinazotisha. Punyeto imekuwa utumwa. Wanashuhudia kupata majipu, michubuko,
msongo wa mawazo, kushuka kwa kujiamini, wengine wameshuhudia kufika kiwango cha juu cha kutokuvutiwa na wanawake kabisa. Kwa kifupi punyeto huharibu vipokezi (receivers) vya hisia mwilini na saikolojia yako ya mapenzi kwa
ujumla,kuharibu mishipa na nerve za ufahamu katika uume na kukukosesha mawasiliano sahihi kati ya uume na akili yako.Unaporudi kufanya tendo la ndoa kawaida (na mwanamke) unakuwa tayari umeathirika na inakuwa kama upo
ulimwengu wa nje ya mapenzi. Wengine wanasema haina madhara na pia kutoa namna nzuri ya kufanya ili usipate madhara, lakini kila waathirika wanasema haifai….kinga ni bora kuliko tiba hivyo anza mpango wa kuacha kuacha punyeto haraka kabla hujafikia sehemu mbaya zaidi
ADUI WA NNE MADAWA
Hapa kuna madawa ya kulevya na madawa ya kawaida, pia madawa makali ya presha na kisukari ni hatari kwa afya ya uume wako. Madawa yanayowekwa katika baadhi ya makopo ya vyakula vilivyosindikwa na mengine yanayonyunyiziwa mashambani wakati mimea inakuwa katika ukuaji wake ni hatari tupu. Madawa ya kulevya nadhani wote tunayajua yalivyonoma. Unalegea mwili mzima, uume
unajifia tu kama bamia.jenga tabia ya kutumia chakula cha asili kama dawa kuepuka magonjwa ya tabia yasikupate.
ADUI WA TANO UCHAFU WA MWILI, NGUO NA NGUO ZA KUBANA
Nguo chafu, za mbano na zisizo za pamba zinasababisha magonjwa ya ngozi. Pia uume unatakiwa upate free range yaani ubembee na sio kutulia kama jiwe. Hii inaufanya uume kuwa active na kuwa tayari kwa kushughulika. Pia wanaume wengi ni mabingwa wa kuvaa suruali si chini ya siku 3 hadi 7. Wengine wanavaa jinsi kauka nikuvae - huo ni uchafu na ni hatari uchafu kuingia ikulu. Oga mara kwa mara fua nguo zako hata kama wife hafanyi fanya mwenyewe, vaa boxer chupi sio zile za chupi za V kama za wanawake. Ukikojoa na kwenda haja kubwa
jitawaze vizuri. Kuwa msafi mwili na roho, Sasa wengine wanafuga rasta maeneo ya Ikulu. … OK decide yourself kama ni usafi huo au uchafu,
ADUI WA SITA BAADHI YA CHAKULA
Hapa lazima tuambiane ukweli ivi mwanaume unakula chips na soda kila siku unataka uwe nini kama sio kituko, vyakula vyepesi vyepesi visivyokuwa na nguvu vinavyokuongezea sukari na presha mwilini achana navyo. Mwambie waifu aachane na mapishi ya ugali uliokobolewa. Vyakula vya kukujaza gesi tumboni havifai, vyakula vinavonenepesha tumbo achana navyo kabisa. Wengine wanapiga pombe kali eti zinaongeza nguvu, at least kwa leo au kesho “energy drinks is not a long lasting solution”. Mara moja moja penda kutumia asali na mdalasini, tende, matunda kwa wingi hasa yale yenye zink kama tikiti maji, avocado, uyoga na pia machungwa. Hakikisha unakula matunda dakika kadhaa kabla au baada ya chakula. Usichanganye matunda yenye acid na alkali mara moja na ukala yaani mtindo wa cocktail, mfano chungwa lina acid, parachichi ni alkaline (haya usiyale yote mara moja).
ADUI WA SABA HOMONI KUVURUGWA
Hapa ndugu zangu pana uhusiano sana na namba 4 hapo juu. Vyakula na madawa tunayotumia pamoja na madawa yaliyotumika na wakulima ndio yanaleteleza hormoni katika mwili wako kuwa na balansi ya tofauti. Matokeo yake hormoni zinazohitajika kuamsha vichocheo vya kuufanya uume ufanye kazi vema zinashindwa kuwa katika balansi nzuri na hatimaye kuufanya uume kushindwa kufanya kazi zake kwa ufasaha.
ADUI WA NANE UMRI
Kadri umri wako unavozidi kwenda mbele ndivyo uwezo wa kiafya wa uume wako unavyozidi kupungua ingawa wanasema "old wine gets better" Magonjwa pia ni rahisi kukuingia, magonjwa kama tezi dume, kansa ya uume, ubovu wa kibofu cha mkojo na pia kukosekana kwa damu katika sehemu zako za siri.
ADUI WA TISA KUUCHORA UUME KWA KUTOBOA AU KUPAKA RANGI
Wanaume wengine hujichora katika uume wao na kuweka alama mbalimbali au majina mbalimbali. Kwa kuwa kazi hizi katika mazingira ya kiafrica hufanywa kwa siri basi vitogeo huwa dhaifu na huenda vikaambukiza magonjwa, lakini pia ukisha chora uume wako kwa kutoboa ngozi ni rahisi kwa magonjwa kukuingia wakati ukiwa katika harakati zako za kinyumba.
ADUI WA KUMI ACROBATIC AND ATHLETIC SEX
Hawa pia ni maadui wakubwa, kuna baadhi ya wanandoa hufanya mapenzi kwa kutumia staili za tofauti tofauti na zingine huufanya uume kupenya kwa shida au kukunjana na hivyo kusababisha michubuko na uvimbe katika kichwa na shingo ya uume. Na pia wengine hufanya mapenzi muda mrefu sana kama vile wako mashindanoni - Jiulize unabakia salama? Starehe isiwe kero. Pima faida ya starehe na hasara yake.
ADUI WA KUMI NA MOJA MSONGO WA MAWAZO
Au stress huyu ni adui endapo utashindwa kumdhibiti kwa kuwa stress husababisha milango ya fahamu kuziba na pia kuunyima uume damu na oxygen ya kutosha na hivyo uume kushindwa kufanya kazi yake vizuri. Ikiwa utashindwa kuusimamisha uume huenda ukashindwa mara nyingine tena kwa kuwa swala hilo linaweza kuathiri saikolojia yako ya mapenzi na hivyo kujikuta kila wakati unashindwa wakati ki-ukweli upo fiti. Jifunze kuwa nje ya stress kama vile kupangilia mambo yako vizuri ya kijamii, kiofis na kipesa (kwa sababu stress au msongo hutokea wakati matokeo halisi yamekuwa madogo kuliko matokeo tarajiwa na inaonekana hamna namna ya kufanya na muda umekwisha) – Siku zote panga siku yako vizuri na yaangalie mambo yote kwa kutumia akili chanya. Katika kila ubaya kuna uzuri, fuata uzuri.
ADUI WA KUMI NA MBILI NGONO KINYUME CHA MAUMBILE, VIDOLE NA MIDOLI
Ufanyaji ngono kinyume na maumbile ni hatari kwa afya ya uume wako, iwe unafanya au unafanywa yote yanapelekea kuwa na hali ya sintofahamu mara uume unapokutana na uke. Sio mazoea yake na sio utaratibu wa dini zetu hata wapagani wanakataa wala sio uhalisia. Wengine wana vimidoli vyao na vitu vinavyofanana na hivyo. Unasinyaisha uume wako….mtoto wako anapokuwa na tabia za ajabu ajabu mkague na uongee naye mara kwa mara sio kila siku unarudi watoto wamelala
ADUI WA KUMI NA TATU WASIWASI WOGA NA UVIVU WAKATI NA KABLA YA TENDO LA NDOA.
Hapa ndugu zangu hakuna maelezo mengi sana ila kumbuka tu ya kwamba kuwa na wasiwasi na woga kunaondoa uwezo wa damu kufika maeneo ya uumeni hivyo kuukosesha uume malighafi muhimu ya damu na oxygeni ili uume ufanye kazi vizuri. Pia wewe mwenyewe mwanaume unakosa focus (target) ya jambo unalolifanya. Kuwa mwanaume jiamini unaweza;
ADUI WA KUMI NA NNE UPUNGUFU WA TESTESTORENE
Testosterone ndio homoni ya kiume inayohusika na uundaji wa viungo vya kiume wakati mtoto akiwa tumboni hajazaliwa na kisha kuanza kujenga mwili wa kiume wakati kabla ya kubalehesha na kumtayarisha kijana wa kiume kuwa baba akisha balehe. Na baada ya hapo homoni hii huhusika na matendo mabalimbali ya kimapenzi na mvutano kati ya mwanamke na mwanaume. Pia huhusika na uzalishaji na ukomazaji wa mbegu za kiume. Homoni hii ikipungua uwezo wa uume kufanya kazi vizuri hupungua. Uzuri ni kwamba unaweza kuongezwa homini hii katika mahospitali lakini pia kuna vyakula unavyoweza kula na kuiongeza taratibu.
ADUI WAKUMI NA TANO PICHA CHAFU, ROHO CHAFU NA AKILI CHAFU
Uangaliaji wa picha chafu za ngono ni hatari kwa ujumla wa saikolojia yako. Mwili wako unauwezo wa kubadili tabia na vionjo kama utafanya hivyo ndani ya siku 15 hadi 21. Ikiwa utazoea kuangalia picha za ngono ambazo wataalamu wengi wa holywood wanasema si za kweli basi unajikuta upo katika ulimwengu ambao sio halisia. Ukija kuonana na mkeo halisi unajikuta mwili wako wa hisia bado upo Holywood. Akili yako imetekwa. Huwezi fanya vizuri tena, wengine wanasema wanatafuta apetite, lakini kumbuka apetite hii sio ya asili baada ya muda unazoea unakuwa sugu na huwezi tena kuwa boosted na hizo picha. Best apetizer ni mkeo.
ADUI WAKUMI NA SITA MWANAMKE MWENYE DHARAU NA MATUSI
Tabia za baadhi ya wanawake zimekuwa kero kabisa kwa uimara wa uume. Mwanamke anakuwa mchafu kupindukia. Wengine ni kutoa matusi mfululizo kama vile hawajaenda jandoni, wengine ni dharau zisizokuwa na mpango hadi wakati wa tendo la ndoa. Wanawake wengine hawachangamki hata mwanaume ajitahidi vipi yaani wapo wapo tu as if ni magogo. Hii ni hatari sana. Mwanamke ni ufunguo mzuri sana kwa afya ya mwanaume hasa kama mwanamke ameutunza vizuri uke wake na pia kama mwanaume hajaathirika na uoga, wasiwasi na mashaka, magonjwa na tabia zile mbaya kama punyeto, michepuko, ulevi na madawa ya kulevya. Wewe mwanume unatakiwa utengeneze mazingira ya mkeo kuwa msafi na mwema kwako, anayejituma na ambaye ni mkweli daima. Love your wife she will pay you back 100%.
ADUI WA KUMI NA SABA UZITO, KITAMBI NA KIRIBA TUMBO CHA MWANAMKE
Wanawake wengi siku hizi wana vitambi, owk unaweza sema hii inakujaje hapa? Ukweli ni kwamba baadhi ya shughuli za msingi za uume zinashindikana kufanyika kwa sababu ya kitambi cha mwanamke, ofcourse hata kitambi cha mwanaume ni adui lakini adui namba moja ni kitambi cha mwanamke na pili ni kitambi cha mwanaume. Wanawake wengi wanaoshindwa kufika kileleni wanavitambi au uzito mkubwa. Hii inauletea uume shida sana ya kutimiza majukumu ya kinyumba.
ADUI WA KUMI NA NANE UKE USIOTUNZWA
uume unakuwa bora ikiwa uke pia ni bora. Mwanaume lazima ujiunge na mkeo kumweka vizuri
ADUI WAKUMI NA TISA KUKOSA USINGIZI
Kuangalia mpira kuanzia saa11 mpaka saa7 usiku, wengine wanaangalia movie huku wanakula mirungi nabado asubuhi unatakiwa uwahi kazini. My friend unaharibu mwili wako na uume wako unapata stress. Ukilala mwili unapata muda wa kurekebisha misuli, kuweka balansi nzuri ya homoni na kurudisha hamu za mwili za kawaida pia kuboresha kinga ya mwili. pata usingizi wa kutosha ubongo ujipange,misuli itulie na seli zizaliane
ADUI WA ISHIRINI TOO MUCH SEX IS HARMFUL
Ukifanya sana ngono unahatari ya kupata madhara yafuatayo uume kuvunjika (hauvunjiki kama kijiti ila misuli inaumia), kuishiwa maji mwilini, UTI, kuumiza nerve za uume, kupunguza nguvu ya misuli na kushindwa au kuuma misuli ya mwili. AMUA NI KIASI GANI KINAFAA Kwa ujumla utakuwa umegundua ya kwamba chakula ndio suluhisho la kudumu la kupambana na maadui hawa, ingawa pia utalazimika kuwa mwenye tabia nzuri. Endapo wakati mwingine inakuwa ngumu kwa chakula kufanya kazi na kuleta matokea ya haraka itakulazimu kupata ushauri wa kitabibu kama kupata dawa za hospitalini (kemikali) au virutubisho. Ikiwa utapata dawa au virutubisho hivi na ukapona huna budi kuendelea kutumia chakula bora na pia kuwa na tabia njema kwa ajili ya kupata matokeo ya kudumu, yenye furaha na amani.