miss wa kinyaru
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 542
- 356
Natalia leo umetuma nyuzi ngapi ukiwa na visa vyako binafsi vingapi manake nashindwa hata kukushauri.Mwanaume wangu anajua haswa na mwanaume mwingine ananiambia usiniache nitakunulia gari simpendi hata kidogo sasa hivi.nifanyeje
Mwanaume wangu anajua haswa na mwanaume mwingine ananiambia usiniache nitakunulia gari simpendi hata kidogo sasa hivi.nifanyeje
yalaaaaaaa.....nilikuwa nasema mie gari kisu cha kuchinjia wanawake. mfano ndio kama huu. sasa demu hampendi jamaa lakini kwa kuwa kahaidiwa gari basi ilisha anza kuthink possibility ya kumkubalia.
Well Said Kaka Asprin na mzabzab, sasa akina Lily Flower sweetlady, Emma ITEGAMATWI, , BelindaJacob , Kongosho mwaJ , Preta MadameX Gerrard MESTOD BADILI TABIA, Asulo Bajabiri, Tram Almasi Na wengine weeengi
Bila kusahau wale wooote walionoshambuliwa kwenye https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/313156-dada-zetu-na-lift.html, Waje na hapa
Mwaka huu mpaka kieleweke, lazima niibuke na Bajaji ili nami niwakoge!.I Like this. Na kuna mtu anaitwa Bramo, akiiona hii post lazima aisindikize na LIKE!
Gari ni uchawi kwa wanawake!
Na wewe ndo lazima nikupe lifti kwenye bajaji yangu, Mtanikomaje mwaka huu!.Bramo hata tukeshe kwenye ile thread ya lifti...tatizo umeshindwa kuelewa siyo wanawake wote..!! Mie sijawahi panda lifti nisiyoijua na sitopanda..itabidi tukubaliane kutokubaliana kwenye ile issue ya lifti.
Leo nasikia umepewa lifti wewe, he he he!!
Kuhusu hii mada, dada angalia moyo wako ulipo..fanya maamuzi sahihi kutokana na uwajuavyo hao wanaume!!
Na wewe ndo lazima nikupe lifti kwenye bajaji yangu, Mtanikomaje mwaka huu!.
Bajaji yangu ndhuri wewe, wewe napanda bure. Kama vipi ntakupitia hiyo mitaa ya Mtoni kwa Aziz Ali!.Akhaaah! lifti sijazoea mie..mie nina ki-touareg changu bajaji sipandi thiku hidhi..he he he
Kumbe wewe siyo mchoyo eeh??
Bajaji yangu ndhuri wewe, wewe napanda bure. Kama vipi ntakupitia hiyo mitaa ya Mtoni kwa Aziz Ali!.
Mwanaume wangu anajua haswa na mwanaume mwingine ananiambia usiniache nitakunulia gari simpendi hata kidogo sasa hivi.nifanyeje
Heheheheh, Afu yule Mdada aliyenipa lift baada ya kunipigisha story 2 3 Pale Kwa Manyanya sijui ni wewe utakuwa...Bramo hata tukeshe kwenye ile thread ya lifti...tatizo umeshindwa kuelewa siyo wanawake wote..!! Mie sijawahi panda lifti nisiyoijua na sitopanda..itabidi tukubaliane kutokubaliana kwenye ile issue ya lifti.
Leo nasikia umepewa lifti wewe, he he he!!
Kuhusu hii mada, dada angalia moyo wako ulipo..fanya maamuzi sahihi kutokana na uwajuavyo hao wanaume!!
Da wewe kweli matawi ya juu, ntakupepea bana. kelele hatutapitia mitaa ya uswazi....Ulete na hilo gari ulilomuahidi huyu dada ili asikuache, ha ha...bajaj no kabisa, haina kipupwe bwana!! na mingi kelelez
Inaonekana wewe haujitambui. Hujijui wewe ni nani na unataka nini katika maisha haya. Endelea kushangaa kwanza, ila its better umuache huyo anayekupenda na unampenda maana utamfanya alie bila sababu. Kesho atakuja ambaye humpendi ila anataka akununulie treni.