Khaaa! Yaani nimecheka sanaMwanamke mwenye kiwanja ama aliyejenga huyo ni kataa ndoa. Na amejiandalia maisha ya kuwa single muda wote....
Atakijenga tu, hata kwa kubana hela ya kununulia mboga nyumbani au kwa msaada wa michepukoNa Kama anacho usipokijenga