Mwanaumeeeee ulinzii

Joined
Dec 4, 2017
Posts
15
Reaction score
12
Wanaume wenzangu mwanamke anatakiwa alindwee kama mswaki wako hakikisha hautumiwi na MTU mwinginee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hapo wanawake wamefurahi

Lakini piaaaa wanaume msisahau kubadilisha kila baada ya miezi flani kwani mswaki una kawaida ya Ku expire baada ya mda flann[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwahiyo kiswakio kukilinda nilazima! mmmhuu [emoji23][emoji23],sasa viswakio vingine ni vikubwa kiasi kwamba vina vunja masink [emoji57][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…