SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Mpo huku mitandaoni mkisema Simba inacheza kombe la Ndondo, mnasema Simba haikuwa na on target hata moja, mnasema Simba ni mbovu sana, ila mko mstari wa mbele kununua tiketi kwenda kuangalia pira ubaya ubwela.
Kwa nini msiende Zanzibar mkashuhudie timu yenu ikiweka historia ya kuingia makundi? Kwa nini msiende Zenji mkafyeke chaka tunalojificha la rank za CAF kama mnavyodai?
Anyway, karibuni Kwa Mkapa, hiyo ndiyo mechi itakayokuwa inatazamwa Africa nzima katika mashindano yote ya CAF. Jaribuni tu kuvaa nyekundu, msituchafulie uwanja kwa rangi za manjano.