Ex yupi? Kuwa specific.1. Dua LA kuku halimpati mwewe.
2.Akunyimaye kunde anakupunguzia mashuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wa kwangu nimeshamuandikia hapa mzee baba Jr .
Twende kazi.
Location Mbuyuni Chanika. View attachment 1292292
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwa nini anamfanyia hivi? [emoji23] 😀 😀
Nina ma-X kibaooo! Sijui nimwambie yupi!1. Dua LA kuku halimpati mwewe.
2.Akunyimaye kunde anakupunguzia mashuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wa kwangu nimeshamuandikia hapa mzee baba Jr .
Twende kazi.
Location Mbuyuni Chanika. View attachment 1292292
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Ndo ndo ndo si chururu.
2. Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
3. Hakuna marefu yasiyo na ncha.
4. Ampigaye tele chura, amwongezea mwendo (sina hakika kama hii ni methali au msemo).
5. What doesn't kill you, makes you strong.
6. Umdhaniaye ndiye, siye.
Merry Xmas and Happy New Year dear Xs.
Dah me ngoja nimuite tu Mr Jr Mshana Jr aje na yeye kutoa ya kwake
1. Dua LA kuku halimpati mwewe.