Mwandikie X wako methali inayomfaa afungie mwaka!

Karaga bao mwiko wa ubao!

Mwana kulitaka mwana kulipata!

Amtakae ibilisi amefaa kumfilisi!

Nguo ya kikojozi haishi michirizi!

Nenda mwana kwenda ukayapate ya mwendwa!

Kibaya chajitembeza kizuri chajituliza!

Kidudu mtu Hana utu!

Avunjae mwiko yatampata ya kijiko!

Mwana kulipepea,mwana kulichochea!

Kipepe kipepeo,livute lidekio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…