Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mwandishi UMUTONI Adeline arekodi video kuonesha Wanajeshi wa DRC walioshindwa na M23 wanavyoishi kwa tabu Goma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafunzo kama hayo unayoyaongelea yanatakiwa yawe sehemu ya Maisha Yao jeshini mpaka wanastaafu na sio mwezi mmoja ama miwili matokeo yake ndio haya unakutana na wanajeshi mtaani wametepeta kama mlenda kutwa kushinda bar kugombania wanawake na raia mbaya zaidi mpaka kichapo wanapewa na raia.Tabu iko wapi sasa hapo kwa Mwanajeshi? Yaani mwanajeshi aliyefundishwa kukaa na viatu kwa mwezi mzima bila kuvivua huku akiwa kwenye mafunzo ya nyakati ya mvua na jua kali hadi miguu inaoza ndiyo usema yupo kwenye tabu.
Acha utani.
Popote pale wanajeshi lazima waandaliwe na kujiandaa kabla ya kuingia vitani popote pale Duniani. Ni kama vile watu wanavyojiandaa kufanya usahili regardless wewe ni msomi kiasi gani.Mafunzo kama hayo unayoyaongelea yanatakiwa yawe sehemu ya Maisha Yao jeshini mpaka wanastaafu na sio mwezi mmoja ama miwili matokeo yake ndio haya unakutana na wanajeshi mtaani wametepeta kama mlenda kutwa kushinda bar kugombania wanawake na raia mbaya zaidi mpaka kichapo wanapewa na raia.