kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Mkuu tukiongelea kuchana....kuna mtu mwenye flow kali zaid ya CHID?Labda Chid Benz wa kipindi kileeee.kuhusu fid huwa namkubali sana huyu mtu lkn sijajua kashindanishwa na nani
hebu soma vizr mkuu wanguMkuu tukiongelea kuchana....kuna mtu mwenye flow kali zaid ya CHID?
Nipinge kwa hoja mkuuKwamba fid ni mwandishi bora...
Maoni ni kama USHUZI kila mtu anaweza utoa.
Heko Chid benzYeah umeongea kitu kikubwa sana....Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita nchi hii haijawahi kupata Rapper mzuri kama Chid Beenz.
Kwa flow Chid Beenz hakuna kama yeye pamoja na matatizo yote anayopitia ila bado Akishika kipaza anawafunika walio wazima.
Unapo sema fulani ni mkali tena kwenye upande wa Hip Hop Lazima uguse mambo muhimu na nyeti ya utamaduni huo.Nipinge kwa hoja mkuu
Unataka upingwe kwa hoja lkn wewe umekuja bila hojaUkisema uandishi wa mashairi adhimu katika HIP HOP Fid q ni Baba lao na ukizungumzia msanii wa HIP HOP mwnye flow nzuri kuliko yeyote ni CHID BENZI
Nipingwe kwa hoja kama kuna ulazima
sijawahi kujuta kumpenda fid q hata siku moja japo kuna wengine kama staminer, mwana fa, langa rest in peace ngwear rest in peace, pamoja na songa huwa napenda sana kuwasikiliza sana.Amani kwa Chachage na Makuadi wa Soko huria
Baba ahsante kwa utafiti na zawadi ya Almasi bandia...
Alinifanya nimchimbe zaidi Prof Chachage (Rest in Peace).Hiki kichwa ni hatari sana.
Anakwenda zaidi anakuambia,
Unataka kuchukiwa na mjinga, Mwambie akikosea
Ukweli siku zote unapigwa mawe, Uongo uzidi kuenea
Wenye nia hawana nguvu, Wenye nguvu hawana nia
Wanaridhika na moja, Wanaogopa kutafuta mia...
Shikamoo Fareed Kubanda.
sijawahi kujuta kumpenda fid q hata siku moja japo kuna wengine kama staminer, mwana fa, langa rest in peace ngwear rest in peace, pamoja na songa huwa napenda sana kuwasikiliza sana.