Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Taarifa zimekuja hapa Mwanyamala Hospitali kuwa aliekuwa mwandishi nguli wa magazeti ya Global Publisher bwana Shakoor Jongo Amepata ajali pale Maasai Kinondoni na kufariki hapo hapo Alfajiri hii.
Huyu mwandishi alikuwa nguli wa habari za kwenye kumbi za starehe, na ambae alikuwa akiripoti matukio mbali mbali yaliyokuwa yakitokea.
Bwana ametoa na kwake tutarudi insha'Allah.
Huyu mwandishi alikuwa nguli wa habari za kwenye kumbi za starehe, na ambae alikuwa akiripoti matukio mbali mbali yaliyokuwa yakitokea.
Bwana ametoa na kwake tutarudi insha'Allah.