Aliutafuta sana Uwaziri yule mbunge kipindi cha stone age. Alikuwa anafanyakazi kwa sifa kweli mara apande basi awe na wanakijiji sasa hivi yupo kimya kapoa baada ya kuporomoka kwa Sukuma Empire. Nitafutie watoto wake wa kiume popote pale hawezi kuwaonyesha.