balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Nyumba ya utambuzi ilikuwa pale Rombo karibu na kona kimara,huyu jamaa alikuwa kichwa sana ila sijawahi kujua alikufaje.R I P Munga
Kiukweli mafundisho yako ndio yaliyoniongoza sana kiasi kwamba leo hii sitetereki kabisa,
Nimekuwa sio mtu wa kuongozwa na hisia bali mimi ndio huongoza hisia zangu.
Mi nilikuwa nafatilia makala zake kwenye magazeti ya Jitambue tu. Tena kipindi hicho nilikuwa bado mdogo sana kiasi kwamba binafsi sikuwa na hela hata ya kununua gazeti hivyo kama baba hakuleta hilo gazeti basi siku hiyo nilikuwa nakosa raha.Nyumba ya utambuzi ilikuwa pale Rombo karibu na kona kimara,huyu jamaa alikuwa kichwa sana ila sijawahi kujua alikufaje.
Naomba uni_PM hizo video japo moja please.....na kama vip naweza kupatia ka namba ka whatsup unitumie kama hautajali mkuu.Mi nilikuwa nafatilia makala zake kwenye magazeti ya Jitambue tu. Tena kipindi hicho nilikuwa bado mdogo sana kiasi kwamba binafsi sikuwa na hela hata ya kununua gazeti hivyo kama baba hakuleta hilo gazeti basi siku hiyo nilikuwa nakosa raha.
Pia nimekuja kupata video zake mwaka huu huu ila kumbe tayari ameshaucha mwili
Nipm tuone utazipataje ila kwa whatsapp haiwezekaniNaomba uni_PM hizo video japo moja please.....na kama vip naweza kupatia ka namba ka whatsup unitumie kama hautajali mkuu.
Sawa mkuu.Nipm tuone utazipataje ila kwa whatsapp haiwezekani
Muda mrefu sana nilikua ni mmoja wa kufatilia habari zake... Munga tehenani Kuna mambo alinishauri vizuri sana... Nilitamani ifike jumatano ninunue gazeti Lake la kutambue mpk leo nina stoo ya magazet yake.. Alitutoka mapema mnooo. Bado tulikua tunamuhitaji.. Mungu amlaze mahali pema peponiNdugu zanguni, nimeshtushwa sana na habari hii,
Kumbe ndugu yetu Munga Tehenan alishatangulia mbele ya haki?
Bwana alitoa, na Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe. Amen.
duu imenikumbusha mbali ..sana enzi za miaka ya mwanzo ya JF ....RIP MUNGA TEHANANWadau naomba kujuwa alipo mwandishi maarufu wa makala, na one time mhariri na mmiliki wa gazeti la JITAMBUE.
Ameandika vitabu vingi vya lugha na hadithi, na kuna wakati alikuwa na TALK SHOW pale TBC1 Wakati ikiwa TVT. Pia amewahi kuwa Majira Publishers, nadhani mhariri wa vitabu among other things...
MHARIRI, MUNGA TEHENAN!
Chanzo chagazeti lajitambue kutotoka nikifo chake nasio mwak juzi nimuda zaidi yamwKaka juzi<br />
<br />
Hata Mimi sielewielewi ninayoyasoma hapa,Munga Tehenan anawezaje kufa halafu habari yake iwe siri? Media haiku-cover habari hii?
Mm amenisaidi sana,Tehenan nilikuwa sikosi Gazeti la Jitambue,hata siku moja sikosi!!
Amenisaidia saaana,i never thot kwamba hatunaye kimwili tena,duuuuh!!!
2008 ni Mwaka Juzi tu,ama kweli Media za Bongo ni zaidi ya huzijuavyo!!!
Pole ndu jogi lakini alikufa uda mtefu, kifo chake nichanzo chagazeti lajitambue kutotoka , sasa jiulize gazeti limestop lini kutoka?rip brother Munga, asante jf, ndiyo napata taarifa hii ya huzuni leo.
Pole kanyagio ila alikufa miaka mingi nandio chanzo chagazeti lajitambue kufa kabisa, r.I.p munga tehenanhabari hii imenisikitisha sana , nilikuwa sijui kama Munga wa gazeti la jitambue alikufa. mke wangu (enzi hizo akiwa girlfriend) alikuwa anapenda sana magazeti yake... nimemwambia katoa machozi!! nitakupigia
Nilikuwa madongo kuinama sikuwa na mawasiliano na dunia ya umeme.Pole ndu jogi lakini alikufa uda mtefu, kifo chake nichanzo chagazeti lajitambue kutotoka , sasa jiulize gazeti limestop lini kutoka?
Pole sana kamanda. Yule jamaa na timu yake walikuwa ni wako vizuri sana na muhimu sana hasa kwenye suala la saikolojiaNilikuwa madongo kuinama sikuwa na mawasiliano na dunia ya umeme.
Nimesikitika sana.