Mwandishi wa gazeti la Jamhuri, Angellah Kiwia afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za utekaji na kuendesha genge la uhalifu

CCM mjue kila namfs itaonja mauti

stidy
 
Uzuri na uthibitisho wa kazi ya genge lake upo ambayo ndo huyooo m30 alizoomba kwa mtekwa sa sijui anasingiziwaje hapo
 
Kuna watu wameumbwa kubisha hata kama ukweli upo wazi bado kubisha ni kasumba yao sasa kwa hawa watuhumiwa ukweli upo mahakamani mtu anasema wameonewa fedha walizoomba wamekamatwa nazo bado watu fulani wanadai wameonewa wangeachwa bado wangesema serikari wazembe,sasa kipi bora serikari yako kuwa wazembe au watenda kukamatwa kufikishwa mahakamani Kisha kuambiwa waonevu? Wangeuliwa je mngesemaje?
 
Natamani kumjua mmiliki wa hilo gazeti la Jamhuri ni nani
Yuko msukuma mmoja hv anaitwa Balele zamani alikuwa ana support upinzani alivyoona jiwe anamwaga vyeo kwa wapiga pambio nae akafika bei akaanza kupiga pambio lkn jiwe kamkaushia tu
 

Kibaya ni kukaa upande mmoja kwa sababu tu ya imani za kisiasa. Hata kama ushahidi upo, bado nafasi ya kuhitimisha inatendeka haki au dhulma haipo.

Mchangiaji mmoja akisema ni uonevu kwa sababu yeye ni mwana CDM mwingine akimpinga ili atetee maslahi ya CCM, wote ni wale wale hakuna afadhali.

Kusudio lilikua tuwe wanachama matokeo yake tumekua waumini. Mtu anatetea kila kitu kwa sababu yeye ni CCM na anakosoa kila kitu kwa sababu ni CDM na bado hashituki kwamba amezidi mipaka.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kupunguza upendo na imani kwa watu wako ni rahisi zaidi kuliko kurudisha imani uloijenga kwa zaidi ya miaka hamsini hadi ukawa mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…