Mwandishi wa gazeti la Jamhuri, Angellah Kiwia afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za utekaji na kuendesha genge la uhalifu

Ndugu Waandishi wa Habari, vipi tena!! Ni vyema mkaamua kuishi maisha yenu halisi. Hii awamu ni ngumu sana. Bahasha za khaki zimeadimika kweli kweli! hivyo mkubali tu kubadilika.
 
Shida yenu ndo hii, akiwa mwanamke hawezi kuwa mhalifu?



Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli akiwa mwanamke aweza kuwa mhalifu tena hatari hadi danger. Ila, mhh hata ule mkao kwenye picha tu na lile likanga, na umri wake mdogo hivyo yaani 40na ushee? ? Kweli? ? wamfutie shitaka wambambikie jingine hata la kuuza cha Archuga. Tutawaelewa kidogo
 
Inawezekana alitumika kukamilisha mchakato wa kupata pesa ama kwa kupiga au kuongea na simu au kutoa eneo la kumuweka mateka au kutoa gari lake au kutoa taarifa au maelekezo yaliyosaidia kukamilisha utekaji. Everything is possible kwenye hii case.

Tusubiri statement of facts


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Huyu ni mwandishi wa habari tena mwanamke. Anaweza kuwa na taarifa nyingi sana so kushiriki aina hii na uhalifu ni rahisi sana kuliko kuuza huo mzigo wa Arusha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wewe na hao wanapinga wote ni walewale,ukweli utapatikana mahakamani,we hujawahi kuona MTU kakamatwa kasoteswa weee jela kisha anaachiwa kuwa hakuwa na hatia?au hujaona MTU kaachiwa kisha kaja kukamatwa tena baada ya kupatikana na hatia?watanzania mnaongea sana kila kitu mnaingiza siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri na uthibitisho wa kazi ya genge lake upo ambayo ndo huyooo m30 alizoomba kwa mtekwa sa sijui anasingiziwaje hapo
Kinavhoandikwa kwenye hati ya mashtaka ndo uthibitisho wa kosa? Kama ni uthibitisho kwa nini kinabishaniwa na pande mbili hadi mwisho wa kesi? Charge sheet ngapi zinapelekwa mahakamani baadaye tunaambiwa kesi imefutwa kwa kosa kutothibitika? Acheni ubabe wa kudhani kwa vile mko upande wa CCM basi mko salama na mnajua kila kitu. Yatawageuka siku moja hamtaamini, kama siyo nyie basi vizazi vyenu vitajibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm ni mahakama? Je wale wamekamatwa na kufikishwa mahakamani na ofisi gani za ccm je ccm wanafungua file la kesi? Usilete siasa kwenye uvunjifu wa amani yatakukuta ukose wa kumlaumu
 
Huyu ni mwandishi wa habari tena mwanamke. Anaweza kuwa na taarifa nyingi sana so kushiriki aina hii na uhalifu ni rahisi sana kuliko kuuza huo mzigo wa Arusha


Sent from my iPhone using JamiiForums
So, kumbe amepatikana na clasified info? ? Mwache aionje selo
 
Hii
Hii story haijakamilika kuna sehemu ina ukakasi. Ingawa pia inawezekana kweli bi dada ana shida sehemu na mihimili yetu ya nchi. Safari hii sio ununio bali daraja la mkapa. Kaka Tuchat
 
Hii

Hii story haijakamilika kuna sehemu ina ukakasi. Ingawa pia inawezekana kweli bi dada ana shida sehemu na mihimili yetu ya nchi. Safari hii sio ununio bali daraja la mkapa. Kaka Tuchat
Muulize wambura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…