RubbishKwa mujibu wa Khalifa, hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa CHADEMA kweli kuzuia uchaguzi usifanyike, wala hakuna dalili za mageuzi yoyote kufanyika kabla ya uchaguzi.
Ameeleza kuwa njia pekee ambayo kauli mbiu hiyo inaweza kuwa na maana ni ikiwa itachukuliwa kama mzaha.
Khalifa anahoji kuwa kauli mbiu hiyo ni mwanzo mbaya kwa uongozi mpya wa CHADEMA kwa sababu inaweka lengo lisiloweza kufikiwa. Pia, amesema kuwa uongozi huo haueleweki kuhusu ushiriki wake katika uchaguzi ujao.
"Lengo hilo si la uhalisia, na kauli mbiu yenyewe inazua mkanganyiko mkubwa," ameandika.
Ameeleza kuwa ukosefu wa msimamo thabiti unaweza kuathiri jitihada za chama katika kukusanya fedha, kwa kuwa wadau watajiuliza fedha hizo zinahitajika kwa shughuli gani hasa.
"Ili kuhamasisha wanachama, kunahitajika uwazi na uthabiti wa msimamo. Hivi sasa vyote vinakosekana," amesema.
Kwa maoni yake, Khalifa anasema kuwa uongozi mpya wa CHADEMA ulipaswa kuchukua msimamo thabiti mara tu baada ya kuchaguliwa kwa kutangaza kuwa kitashiriki uchaguzi, bila kujali mazingira.
Soma Pia: Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa
Soma Pia: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amedai kuwa kwa kufanya hivyo, chama kingeweza kukusanya fedha kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi na kuhamasisha wanachama kujiandikisha.
Aidha, ameonya kuwa kwa hali ilivyo sasa, CHADEMA haina ushawishi wa kulazimisha mageuzi yoyote kabla ya uchaguzi, na kwa hivyo, kauli mbiu ya "No Reform, No Election" inachanganya zaidi badala ya kusaidia.
Pia, amesema kuwa msimamo huo unahujumu juhudi zozote za kushirikiana na vyama vingine vya upinzani ili kuunda muungano imara wa kushindana na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
"Unawezaje kuwa na mjadala wa kweli wa kuunda umoja wa upinzani dhidi ya CCM, ilhali chama kinachoonekana kuongoza upinzani kina kauli mbiu ya ‘No Reform, No Election’ kama sera yake?" amehoji Khalifa.
HakikaNo reforms no election
Mtu yoyote anayezungumzia wapinzani kushinda hata kiti cha udiwani kwa kile kilichotokea 2019,2020 na 2024 basi huyo akapimwe akili.Kwa mujibu wa Khalifa, hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa CHADEMA kweli kuzuia uchaguzi usifanyike, wala hakuna dalili za mageuzi yoyote kufanyika kabla ya uchaguzi.
Ameeleza kuwa njia pekee ambayo kauli mbiu hiyo inaweza kuwa na maana ni ikiwa itachukuliwa kama mzaha.
Khalifa anahoji kuwa kauli mbiu hiyo ni mwanzo mbaya kwa uongozi mpya wa CHADEMA kwa sababu inaweka lengo lisiloweza kufikiwa. Pia, amesema kuwa uongozi huo haueleweki kuhusu ushiriki wake katika uchaguzi ujao.
"Lengo hilo si la uhalisia, na kauli mbiu yenyewe inazua mkanganyiko mkubwa," ameandika.
Ameeleza kuwa ukosefu wa msimamo thabiti unaweza kuathiri jitihada za chama katika kukusanya fedha, kwa kuwa wadau watajiuliza fedha hizo zinahitajika kwa shughuli gani hasa.
"Ili kuhamasisha wanachama, kunahitajika uwazi na uthabiti wa msimamo. Hivi sasa vyote vinakosekana," amesema.
Kwa maoni yake, Khalifa anasema kuwa uongozi mpya wa CHADEMA ulipaswa kuchukua msimamo thabiti mara tu baada ya kuchaguliwa kwa kutangaza kuwa kitashiriki uchaguzi, bila kujali mazingira.
Soma Pia: Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa
Soma Pia: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amedai kuwa kwa kufanya hivyo, chama kingeweza kukusanya fedha kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi na kuhamasisha wanachama kujiandikisha.
Aidha, ameonya kuwa kwa hali ilivyo sasa, CHADEMA haina ushawishi wa kulazimisha mageuzi yoyote kabla ya uchaguzi, na kwa hivyo, kauli mbiu ya "No Reform, No Election" inachanganya zaidi badala ya kusaidia.
Pia, amesema kuwa msimamo huo unahujumu juhudi zozote za kushirikiana na vyama vingine vya upinzani ili kuunda muungano imara wa kushindana na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
"Unawezaje kuwa na mjadala wa kweli wa kuunda umoja wa upinzani dhidi ya CCM, ilhali chama kinachoonekana kuongoza upinzani kina kauli mbiu ya ‘No Reform, No Election’ kama sera yake?" amehoji Khalifa.
Swala la uchaguzi ni swala lakimuafaka kati ya wananchi na serikali yao, swala la uchaguzi halipawi kuwa swala la mashaka mashaka na mfumo mzima wa uchaguzi. Serikali inajua fika wapiga kura wanapungua siku baada ya siku na sababu kubwa nikutokuuamini mfumo mzima na michakato mizima ya uchaguzi. Sasa kukitokea mivutano iliyo wazi kama hii inapaswa kwanza itatuliwe la sivyo ukisema kuwa lolote na liwe uchaguzi utafanyika mtake msitake hiyo inaleta uwalakini katika mchakato mzima wakuwapata wawakilishi halali wawananchi.Tufike mahali Aidha tukubali kufanya uchaguzi au kutofanya tuhalalishe tu watakao teuliwa na wateuzi ndiyo watuongoze zote ni Demokrasia. Sidhani kama ni busara tutumie mabilioni ya fedha kwenye chaguzi kisha tusipate watu sahihi tuliowachagua. Najua watanzania ni wapole na wastaarabu ndiyo maana wanafanyiwa vitimbwi hivi. Tunajua fika uchaguzi hakuna mtu yoyote anaweza kuuzuia ila je hui ndiyo uchaguzi watanzania wanao utaka uchaguzi wakusimamiwa na vifaru na magari ya washawasha. Naamini kabisa jamaa na wagombea ambao wanauhakika wakupita ktk uchaguzi huu wapo tayari kwa lolote lile ili washinde hata kwa kuwanunua watu. Ila hao viongozi wanamna hiyo wana tija kwa taifa? Na unadhani kwanini wapinzani wale wanao onekana wananguvu za uhamasishaji ktk baadhi ya maeneo yao au kwenye vyama vyao wanapotea. CCM bado kinanafasi kubwa ya kushinda hata kutakapo kuwa na chsaguzi huru kutokana na mifumo ya chama chao jinsi walivyo jipanga tatizo lao wanataka washinde kwa asilimia kubwa hapo ndipo ugomvi unapokuja. Upinzani upo sana mijini vijijini hakuna kabisa upinzani hasa mikoa ya Tanga, Mtwara, ruvuma, pwani, Dodoma, Shinyanga, Nk. Nishauri kama CDM haitagombea vikabaki CCM na vyamahivyo vidogo C.c.m isiengue mgobea hata mmoja na uchaguzi kwa upande wa bara usifanyewe manuva yoyote ila manuva wfanyiwe ACT kwa upande wa Zanzibar.Kwa mujibu wa Khalifa, hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa CHADEMA kweli kuzuia uchaguzi usifanyike, wala hakuna dalili za mageuzi yoyote kufanyika kabla ya uchaguzi.
Ameeleza kuwa njia pekee ambayo kauli mbiu hiyo inaweza kuwa na maana ni ikiwa itachukuliwa kama mzaha.
Khalifa anahoji kuwa kauli mbiu hiyo ni mwanzo mbaya kwa uongozi mpya wa CHADEMA kwa sababu inaweka lengo lisiloweza kufikiwa. Pia, amesema kuwa uongozi huo haueleweki kuhusu ushiriki wake katika uchaguzi ujao.
"Lengo hilo si la uhalisia, na kauli mbiu yenyewe inazua mkanganyiko mkubwa," ameandika.
Ameeleza kuwa ukosefu wa msimamo thabiti unaweza kuathiri jitihada za chama katika kukusanya fedha, kwa kuwa wadau watajiuliza fedha hizo zinahitajika kwa shughuli gani hasa.
"Ili kuhamasisha wanachama, kunahitajika uwazi na uthabiti wa msimamo. Hivi sasa vyote vinakosekana," amesema.
Kwa maoni yake, Khalifa anasema kuwa uongozi mpya wa CHADEMA ulipaswa kuchukua msimamo thabiti mara tu baada ya kuchaguliwa kwa kutangaza kuwa kitashiriki uchaguzi, bila kujali mazingira.
Soma Pia: Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa
Soma Pia: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amedai kuwa kwa kufanya hivyo, chama kingeweza kukusanya fedha kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi na kuhamasisha wanachama kujiandikisha.
Aidha, ameonya kuwa kwa hali ilivyo sasa, CHADEMA haina ushawishi wa kulazimisha mageuzi yoyote kabla ya uchaguzi, na kwa hivyo, kauli mbiu ya "No Reform, No Election" inachanganya zaidi badala ya kusaidia.
Pia, amesema kuwa msimamo huo unahujumu juhudi zozote za kushirikiana na vyama vingine vya upinzani ili kuunda muungano imara wa kushindana na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
"Unawezaje kuwa na mjadala wa kweli wa kuunda umoja wa upinzani dhidi ya CCM, ilhali chama kinachoonekana kuongoza upinzani kina kauli mbiu ya ‘No Reform, No Election’ kama sera yake?" amehoji Khalifa.
Upo sahihi kabisa siyo akapimwe akili tu ila awwaishwe kitengo cha wagonjwa wenye matatizo ya akili moja kwa mojaMtu yoyote anayezungumzia wapinzani kushinda hata kiti cha udiwani kwa kile kilichotokea 2019,2020 na 2024 basi huyo akapimwe akili.
Umemaliza ! 🙏Ni kweli kabisa kwamba hakuna uwezekano wa kuzuia kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Mwaka huu wa 2025.
Aidha, ni kweli kabisa kwamba Hoja za Watu wa CHADEMA ni za kweli, pia ni za msingi. Hoja zao zina mashiko kuhusiana na Kukosekana kwa Mamlaka zinazoaminika kwa ajili ya kusimamia Uchaguzi ulio huru, wa HAKI na ulio wa Wazi.
Jambo muhimu zaidi la kuzingatiwa ni kwamba: KAMWE CCM HAITAWEZA KUKUBALI KWA HIYARI KUBADILISHA MIFUMO YA UCHAGUZI. NA KAMWE CCM HAITAWEZA KUKUBALI KWA HIYARI KUBADILISHA KATIBA YA NCHI.
KAMWE HAUPO KABISA UWEZEKANO WA KUBADILISHA KATIBA YA NCHI KWA NJIA ZA KIDEMOKRASIA. HAUPO UWEZEKANO!
Kwa bahati mbaya sana, huu ndio Ukweli mchungu Sana kupita kiasi!
Yaani upande wa Zanzibar ndio manuva ifanyike 🤣🤣Swala la uchaguzi ni swala lakimuafaka kati ya wananchi na serikali yao, swala la uchaguzi halipawi kuwa swala la mashaka mashaka na mfumo mzima wa uchaguzi. Serikali inajua fika wapiga kura wanapungua siku baada ya siku na sababu kubwa nikutokuuamini mfumo mzima na michakato mizima ya uchaguzi. Sasa kukitokea mivutano iliyo wazi kama hii inapaswa kwanza itatuliwe la sivyo ukisema kuwa lolote na liwe uchaguzi utafanyika mtake msitake hiyo inaleta uwalakini katika mchakato mzima wakuwapata wawakilishi halali wawananchi.Tufike mahali Aidha tukubali kufanya uchaguzi au kutofanya tuhalalishe tu watakao teuliwa na wateuzi ndiyo watuongoze zote ni Demokrasia. Sidhani kama ni busara tutumie mabilioni ya fedha kwenye chaguzi kisha tusipate watu sahihi tuliowachagua. Najua watanzania ni wapole na wastaarabu ndiyo maana wanafanyiwa vitimbwi hivi. Tunajua fika uchaguzi hakuna mtu yoyote anaweza kuuzuia ila je hui ndiyo uchaguzi watanzania wanao utaka uchaguzi wakusimamiwa na vifaru na magari ya washawasha. Naamini kabisa jamaa na wagombea ambao wanauhakika wakupita ktk uchaguzi huu wapo tayari kwa lolote lile ili washinde hata kwa kuwanunua watu. Ila hao viongozi wanamna hiyo wana tija kwa taifa? Na unadhani kwanini wapinzani wale wanao onekana wananguvu za uhamasishaji ktk baadhi ya maeneo yao au kwenye vyama vyao wanapotea. CCM bado kinanafasi kubwa ya kushinda hata kutakapo kuwa na chsaguzi huru kutokana na mifumo ya chama chao jinsi walivyo jipanga tatizo lao wanataka washinde kwa asilimia kubwa hapo ndipo ugomvi unapokuja. Upinzani upo sana mijini vijijini hakuna kabisa upinzani hasa mikoa ya Tanga, Mtwara, ruvuma, pwani, Dodoma, Shinyanga, Nk. Nishauri kama CDM haitagombea vikabaki CCM na vyamahivyo vidogo C.c.m isiengue mgobea hata mmoja na uchaguzi kwa upande wa bara usifanyewe manuva yoyote ila manuva wfanyiwe ACT kwa upande wa Zanzibar.
CCM DAIMA SAMIA MITANOKwa mujibu wa Khalifa, hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa CHADEMA kweli kuzuia uchaguzi usifanyike, wala hakuna dalili za mageuzi yoyote kufanyika kabla ya uchaguzi.
Ameeleza kuwa njia pekee ambayo kauli mbiu hiyo inaweza kuwa na maana ni ikiwa itachukuliwa kama mzaha.
Khalifa anahoji kuwa kauli mbiu hiyo ni mwanzo mbaya kwa uongozi mpya wa CHADEMA kwa sababu inaweka lengo lisiloweza kufikiwa. Pia, amesema kuwa uongozi huo haueleweki kuhusu ushiriki wake katika uchaguzi ujao.
"Lengo hilo si la uhalisia, na kauli mbiu yenyewe inazua mkanganyiko mkubwa," ameandika.
Ameeleza kuwa ukosefu wa msimamo thabiti unaweza kuathiri jitihada za chama katika kukusanya fedha, kwa kuwa wadau watajiuliza fedha hizo zinahitajika kwa shughuli gani hasa.
"Ili kuhamasisha wanachama, kunahitajika uwazi na uthabiti wa msimamo. Hivi sasa vyote vinakosekana," amesema.
Kwa maoni yake, Khalifa anasema kuwa uongozi mpya wa CHADEMA ulipaswa kuchukua msimamo thabiti mara tu baada ya kuchaguliwa kwa kutangaza kuwa kitashiriki uchaguzi, bila kujali mazingira.
Soma Pia: Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa
Soma Pia: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amedai kuwa kwa kufanya hivyo, chama kingeweza kukusanya fedha kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi na kuhamasisha wanachama kujiandikisha.
Aidha, ameonya kuwa kwa hali ilivyo sasa, CHADEMA haina ushawishi wa kulazimisha mageuzi yoyote kabla ya uchaguzi, na kwa hivyo, kauli mbiu ya "No Reform, No Election" inachanganya zaidi badala ya kusaidia.
Pia, amesema kuwa msimamo huo unahujumu juhudi zozote za kushirikiana na vyama vingine vya upinzani ili kuunda muungano imara wa kushindana na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
"Unawezaje kuwa na mjadala wa kweli wa kuunda umoja wa upinzani dhidi ya CCM, ilhali chama kinachoonekana kuongoza upinzani kina kauli mbiu ya ‘No Reform, No Election’ kama sera yake?" amehoji Khalifa.
Kisaka unaonekana hamnazo!! Ukiwauliza how hili jambo litatokea wanakwambia tutahamasisha watu ukiuliza kina nani watashiriki kuzuia wanakwambia wananchi!!Ni kweli kabisa kwamba hakuna uwezekano wa kuzuia kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Mwaka huu wa 2025.
Aidha, ni kweli kabisa kwamba Hoja za Watu wa CHADEMA ni za kweli, pia ni za msingi. Hoja zao zina mashiko kuhusiana na Kukosekana kwa Mamlaka zinazoaminika kwa ajili ya kusimamia Uchaguzi ulio huru, wa HAKI na ulio wa Wazi.
Jambo muhimu zaidi la kuzingatiwa ni kwamba: KAMWE CCM HAITAWEZA KUKUBALI KWA HIYARI KUBADILISHA MIFUMO YA UCHAGUZI. NA KAMWE CCM HAITAWEZA KUKUBALI KWA HIYARI KUBADILISHA KATIBA YA NCHI.
KAMWE HAUPO KABISA UWEZEKANO WA KUBADILISHA KATIBA YA NCHI KWA NJIA ZA KIDEMOKRASIA. HAUPO UWEZEKANO!
Kwa bahati mbaya sana, huu ndio Ukweli mchungu Sana kupita kiasi!
Na kwa asilimia kubwa miradi mingi binafsi ya Madini aliyotekeleza Biteko huko kanda ya Ziwa inasimamiwa na John Heche!!Na kitu ambacho Lissu hajui ni kwamba John Heche (nikisoma nae SAUT akiitwa Wegesa Charles) sio mtu wa kumuamini kabisa. Ni muoga zaidi ya maneno yake mnayoyasikia.
Huna akili!! Ungekua na akili ungeweza unganisha kati ya woga wa kiongozi na utekelezaji wa maazimio. Ujasiri ni sifa moja wapo ya kiongozi!! Sasa mtu mwoga atasimamia vipi ajenda ya No reform No election??Sasa uwoga wa heche una mahusiano gani na kinachojadiliwa hapa? Ukisoma SAUT Unakuwa mpumbavu hivi