Pre GE2025 Mwandishi wa habari, Khalifa Said: Hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa CHADEMA kweli watazuia uchaguzi usifanyike

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
🤔🤔 💭
 
Na kwa asilimia kubwa miradi mingi binafsi ya Madini aliyotekeleza Biteko huko kanda ya Ziwa inasimamiwa na John Heche!!

Heche ni mwoga, mlafi na mfitini sana!
Muda utadhihirisha udhaifu wake.
 
Tumezoea kila harakati za ukombozi zikianza kuwa na mashiko wanaibuka watu kwa makusudi kufifisha ila wakati huu naamini kabisa wanaenda kufeli No reform No Election ndio habari ya mjini
 

Ila kama wakikutana na ACT Wazalendo na kuja na msimamo wa pamoja wa Bara na visiwani lazima Maza atatoka kwenye comfort zone yake. Kama kwa sasa tu ameshaanza kutumia pesa ya kufa mtu kufanya kampeni .... shaking kidogo tu inahitajika maana yuko so desperate.
 
Unajidanganya, hata viungane vyama vyote kabisa vya upinzani ili kushinikiza jambo hili bado hawatafanikiwa.
Kumbuka: Ccm ni Chama Cha siasa Cha Itikadi za Ujamaa/Ukomunisti ambako kwa kawaida Majeshi ya Watawala ndiyo ambayo huwa yanahusika na masuala yote kabisa ya kazi na shughuli za Chama. Wale ambao huwa wapo kwenye Vyama hivyo wanaoonekana hadharani kuwa ni Viongozi wa Chama Mara nyingi sana huwa ni Wawakikishi tu wa Majeshi, lakini kazi zote na Operesheni zote kabisa za Chama huwa zinafanywa na Jeshi.
Huu ndio utamaduni wa Wakomunisti popote pale duniani.
 
Sema labda mda bado. Diku ikifika hakuna hsyo ya Ukomunist wa baba yake ukomunist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…