TANZIA Mwandishi wa habari maarufu Rwanda John Williams Ntwali auawa

Ukitazama nje ya box huu unaweza kuwa mchezo wa wacongo ili ku steer up hali mbaya ya ndani Rwanda maana wanajua fika lawaza zote atabeba yeye mwisho wa siku wamuondoe wenyewe..Tsheked kajipanga vizur sana au sio mtu chake ?
 
Ndiyo utashangaa hakuna hata tamko la Balozi wa umoja wa Ulaya wala nini.

Wazungu huwa wanafiki kweli,kama hugusi maslahi yao hata uuwe raia nchi nzima hawana hata habari.
 
Daah Rwanda sio sehemu salama kabisa hata mkiwa Transit pale Kigali watu wanakua kimya utadhani wamemwagiwa maji...
 
Ukitazama nje ya box huu unaweza kuwa mchezo wa wacongo ili ku steer up hali mbaya ya ndani Rwanda maana wanajua fika lawaza zote atabeba yeye mwisho wa siku wamuondoe wenyewe..Tsheked kajipanga vizur sana au sio mtu chake ?
Huo mtazamo wako wa nje ya box utawkuwa una matatizo ya akili
 
🇷Rwanda 🇷🇼 wanajifanya ndio Israel ya Africa, Dictator kagame ndio zake hizi, keshaua sana wapinzani wake pale maputo na joberg, ila naye anaelekea huko huko kuzimu na uoga umeshampata ndio maana analindwa na mtoto wake
Zamu yake ikifika hata mwanaye hataweza kumuokoa. Ni ile wanaua baba, mama na watoto wake wote. Futulia mbali kizazi chake chote.

Rais kabisa wa nchi unahangaika na hawa journalist wadogo! Ni kama tembo kupambana na sisimizi. Aibu sana.

Mwenyezi Amrehemu huyu mwandishi.
 
Rwanda mahali hatari sana
Rwanda ni Miongoni mwa nchi Jehanamu zilizopo Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…