Mwandishi wa report (RAPPORTEUR) anatafutwa

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
156
Wadau natafuta mtu anayeweza kuandika REPORT nzuri ya mkutano utakaofanyika Dar kwa siku mbili trh 28 na 29. Akiweza kuwa MC itakuwa vizuri zaidi.

Response needed before midnight today!
Weka na dau lako kabisa tuone kama tunaweza kuku-afford.
 
Kwanza hawezi kuwa MC halafu pia akawa Reporter simultaneously
Kuna mambo ambayo akiwa MC hawezi kuyaona kama Reporterr.
Haya ndio yale mambo ya Watu wa Filamu za Bongo,kila kitu yeye mwisho wa siku inakuwa hovyo.

Pia ujue sio kuwa kila reporter anauwezo wa ku report jambo fulani efficiently.
Kuna watu ni wazuri kwa masula ya mpira,kuna wengine Masuala ya kijamii na wengine masuala ya uchumi nk.

Sasa ungeweka wazi ni kwa ajili ya mkutano unaohusu nini,maana ukiandika hivyo tu usishangae akaja Kingwendu Kama Mc au Bambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…