DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kuandika majadiliano ya vikao vya Kamati na Bunge yaliyorekodiwa katika sauti;
ii. Kuandika na kuhakiki michango ya maandishi ya Wabunge;
iii. Kufanya uhariri wa awali wa nakala za majadiliano kabla ya kuziwasilisha kwa Wabunge husika;
iv. Kuingiza masahihisho yaliyofanywa na Wabunge katika nakala za awali za Taarifa Rasmi za Bunge;
v. Kuhifadhi nakala tepe za awali za majadiliano ya Vikao vya Kamati za Bunge; na
vi. Kufanya kazi nyingine ya kiofisi atakayopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.