The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Nyomi lililokuwepo huko si la kawaida!
Mwaka huu hapatatosha.
Tupende tusipende TBC wameonyesha kwamba hao ni public broadcaster and not state broadcaster.
Nyomi ilikuwepo 1995 kwa mzee wa Kiraracha... hakuna kitu sasa... tujipe matumaini tu kama wagonjwa wa ukimwi...
mafisadi wa ccm kwa kujiamini huwa wananifurahisha sana.