Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Huwa naona vibao kwenye vyumba au ofisi vimeandikwa Mwandishi wa umma, naomba kujuzwa hawa huwa wana Level ipi ya Elimu, Je huwa wana lesseni ya kazi hizo, kwa kingereza anaitwa nani, kazi zake kwenye ofisi hiyo huwa zinahusu nini na je unahitaji kibali kingine cha aina gani ili kufanya kazi hii.