Richard Robert
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 632
- 340
Mhilu, alifariki jana akiwa ARUSHA baada ya kuugua muda mfupi. Msiba uko UKUN, BAGAMOYO.
Wakati wa uhai wake amewahi kuwa Mkuu wa Shule EAGLES, Bagamoyo na kufundisha shule mbalimbali zikiwemo LILIAN KIBO na MBEZI BEACH za DAR es SALAAM.
Ameshiriki kuandika vitabu vingi na kuedit vingine chini ya kampuni ya Nyambari Nyangwine.
R.I. P MHILU