Richard Robert
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 632
- 340
- Thread starter
-
- #21
Unaweza kusoma na kupita bila kuchangia upuuzi kama huu. Kuna ugonjwa nimeutaja? Hizi tafsiri za kijinga jinga kaa nazo huko.Wanajamii forum wengi wanaandika nyuzi za Tanzia ili kutisha watanzania. Je kama alikua na maradhi ya muda mrefu na alikua hasemi hapo tusemeje.
Amefanya vizuri. Biblia inasema umjibu mpumbav sawa sawa na upumbav wake ili asijekujiona mwenye akili.mmmmmmmmm, 😂😂😂😂😂acha matusi mkuu. Jenga hoja bila kumtukana mtu matusi. Wote tukianza kuwa hivi hatutofika mwafaka.
Yup janga lipo dunia nzima ndio maana laitwa pandemic, lakini kuna hotspot areas ambazo lazima watu wazijue...Ugonjwa upo Dunia nzima mkuu amka acha mawazo hayo tumuombe Mungu atuepushe na hili janga na tufate ushauri wa kisayansi..
Anaweza akawa ndo tegemeo lako kaja kwa ajili yako na wewe huna kitu!Ni kumuomba Mungu apishe mbali.
Umeona death certificate yake au ndio umbeya wa siku hizi JF. Cardiac arrest pia ni ugonjwa wa muda mfupi na yapo mengine mengi.
Meneja naona umefulia mawazo,unawazungumziaje watanzania kwa ujumla.Wanajamii forum wengi wanaandika nyuzi za Tanzia ili kutisha watanzania. Je, kama alikua na maradhi ya muda mrefu na alikua hasemi hapo tusemeje.
Which makes a story;Lengo lako lilikua ni kuandika hiyo ya kuugua muda mfupi ili kutisha watu.
Acheni kutisha watu,Which makes a story;
1.Kufa au
2.Kuugua muda mfupi?
Kikubwa ni kuchukua tahadhari hakuna mtu anatisha mwingine....Acheni kutisha watu,
Rest in heavenly Peace Mr.GraysonView attachment 1864413
Mhilu, alifariki jana akiwa ARUSHA baada ya kuugua muda mfupi. Msiba uko UKUN, BAGAMOYO.
Wakati wa uhai wake amewahi kuwa Mkuu wa Shule EAGLES, Bagamoyo na kufundisha shule mbalimbali zikiwemo LILIAN KIBO na MBEZI BEACH za DAR es SALAAM.
Ameshiriki kuandika vitabu vingi na kuedit vingine chini ya kampuni ya Nyambari Nyangwine.
R.I. P MHILU
[emoji1787][emoji1787]Basi wewe andika kuwa kaugua tangu alipozaliwa mpaka alipokufa. Ikiwezekana andika kuwa bado anaumwa