Bado Hujasema
Member
- Dec 1, 2024
- 12
- 14
Tangu anazaliwa mpaka anakua mtu mzima anashuhudia wanawake kama yeye wakitembea umbali wa kilomita 5 kubahatisha kupata maji.
Kwa miaka 30 mama huyu anasikia kuhusu mradi wa Bwawa la nyumba ya Mungu, mradi wa kusogeza huduma ya maji karibu na makazi ya watu kutoka Mwanga,Same hadi Korogwe
Leo baada ya miaka 30 hatimae Rais Samia kamsogezea mama huyu pamoja na wamama wengine, huduma ya maji hadi milangoni mwao.
Sifa kubwa ya Rais Samia ni kwamba ana ahidi na anatekeleza. Leo hii anawashusha mamilioni ya wakina mama ndoo.