S sonny_benson Member Joined Apr 10, 2015 Posts 11 Reaction score 1 Apr 13, 2015 #1 Mimi ni kijana mdogo ktk harakati za maisha hapa na pale huwa nafikiria kufanya kitu tofauti ktk maisha angu lakin sipati mwanga ....nsaidien wana jf tafadhal.
Mimi ni kijana mdogo ktk harakati za maisha hapa na pale huwa nafikiria kufanya kitu tofauti ktk maisha angu lakin sipati mwanga ....nsaidien wana jf tafadhal.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Apr 13, 2015 #2 Karibu sana JF...
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,828 Reaction score 15,001 Apr 13, 2015 #3 Msaada gani unataka..hapa utapata ushauri hata msaada wa kifedha ukihitaji..jipambanue
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Apr 14, 2015 #4 krb sana JF...