Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Wakuu, hii TV yangu naona mwanga(blightness) wake mdogo. Nimecheck hapo naona ipo 50%.. So nataka niongeze japo ifikie 75ili niinjoi kuona vizuri.. yaan picha zingae Ila kinachoniletea ugumu siwezi kufika hapo kwenye option ya blightness yaan hiyo feature imetiwa kivuli.
Nifanyaje wakuu..?
Nifanyaje wakuu..?