Mwanga Lutila JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 4,208 Reaction score 14,143 Dec 17, 2016 #1 -Mwanga Lutila- Pundit
Mwanga Lutila JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 4,208 Reaction score 14,143 Dec 18, 2016 Thread starter #2 "Mwenye busara asiyejichanganya nasi wajinga huwa mjinga wa busara zake za kujitenga nasi" -Mwanga Lutila-
"Mwenye busara asiyejichanganya nasi wajinga huwa mjinga wa busara zake za kujitenga nasi" -Mwanga Lutila-
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 18, 2016 #4 mbili tu?
mxsdk JF-Expert Member Joined Aug 11, 2014 Posts 3,585 Reaction score 2,049 Dec 18, 2016 #5 Hizi quotes ni matata..ongeza nimezipenda.
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,879 Reaction score 41,971 Dec 18, 2016 #6 Ziko poa
Mwanga Lutila JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 4,208 Reaction score 14,143 Dec 18, 2016 Thread starter #7 "Usifanye jambo kwa kutegemea kupongezwa kumbuka usipopongezwa itakuumiza sana, lakini ukipongezwa pasipo kutarajia pongezi hizo utajisikia furaha sana" -Mwanga Lutila-
"Usifanye jambo kwa kutegemea kupongezwa kumbuka usipopongezwa itakuumiza sana, lakini ukipongezwa pasipo kutarajia pongezi hizo utajisikia furaha sana" -Mwanga Lutila-
multiple JF-Expert Member Joined Feb 14, 2016 Posts 389 Reaction score 627 Dec 18, 2016 #8 endelea kushusha vitu..weka vitu mezani mkuu
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Dec 18, 2016 #9 a)Fanya starehee kwa wingi kwani maisha yenyewe ni mafupi {b}.Usiogope ukimwi kama kufa utakufa tu (by unknown)
a)Fanya starehee kwa wingi kwani maisha yenyewe ni mafupi {b}.Usiogope ukimwi kama kufa utakufa tu (by unknown)