Mwanga wa simu kutoweka

Mo pal-mo

Senior Member
Joined
Jan 16, 2021
Posts
182
Reaction score
253
Wakuu habari zenu....,!
Simu yangu wakati nikimpigia mtu, mwanga hutoweka.
Nilianza kuhisi labda shida ni protector lakini nilitoa na tatizo lipo palepale .
Hii inaleta changamoto maana nashindwa kuweka loudspeaker.
Kama kuna mtu ana idea ya nini nifanye naomba anisaidie.
 
Hakuna mwanga uliotoweka hapo, na wala hilo si tatizo bali inakusaidia wewe mtumiaji pindi utakapoweka simu 📱 sikioni isiji touch mara Kwa mara
 
Hakuna mwanga uliotoweka hapo, na wala hilo si tatizo bali inakusaidia wewe mtumiaji pindi utakapoweka simu 📱 sikioni isiji touch mara Kwa mara
Ni tatiz mkuu kikawaida mwanga wa cm unatakiwa utoweke cm ukiweka karib na skio ila kwa kwake yey haipo ivo me nimemuelewa jamaa vzr san t ya kwak yey kitendo cha kupiga t apo apo mwanga unatoweka ila nadhan akibonyez batan ya off/on utarud mwanga kama haurud bc nahic atakua iyo cm ameshaitumia kwa mda mrefu
 
Kijana jambo dogo tuu,kuna mawili.kubwa simu ina virus.2.simu inaweza kuwa imekuwa full interms of storage,simu ikiwa na virus au imejaa huanza kumissbehave kwa namna tofautiiiiii,itakuwa inajizima au kujizima na kujiwasha pia.unaweza kurestore,ikishindikana flash.ova
 
Batan ya off/on ?
 
Hiyo si ipo automatically mkuu auu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…