Mwangi Kainjiru na wakenya wanaitaka nini Tanzania?

Mwangi Kainjiru na wakenya wanaitaka nini Tanzania?

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
850
Reaction score
2,019
Wana jamvi.

Kuna Crip Moja inasambaa ikimuonesha huyu bwana na mwenzie wakiitolea mfano Tanzania.

Takwimu zilizotqkana na tafiti si ajabu zikabeba ukweli ila majirani Hawa wanaonekana kutumia kadi hiyo kuipakannchi hii tope la mkaa.

Mb ni kubwa kui upload humu ila inatia hasira Sana. Nimeitafuta kwenye ma YouTube ssijapata ila nikifanikiwa nitaiweka muone upuuzi Kwa namna flan unaosababishwa na viongozi kitowajali watumishi wa umma.

Kwa mfano kwamba Dr hospitalin anatumia dakika 23 kumsikiliza mgonjwa Kwa siku. Dr alikomaa 5-7 years aakiutafuta u MD. Mwalimu anatumia saa nyingi kukaa na watoto wenu na hawamjali. Sinjambo la ajabu wakikwepa majukumu Yao.

Mwalimu anatumia Masaa mawili kati ya saa 8 Kwa siku hili tatizo ni viongozi mazuzu wasiojali watu wahali ya chini.

This is crazy
 
Wewe Ni Dr? Maana uandishi wako si mtu wa propaganda. Crip hakuna na maelezo yako hayaeleweki, fafanua hizo crazy points moja baada ya nyingine vizuri tuelewe.
 
Back
Top Bottom