Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Liberatus Mwang'ombe Kijana wa Chadema, Aliyeporwa Ubunge 2020 huko Mbarali, katika ahadi zake kwa Wananchi ilikuwa kuhakikisha anainua Michezo kwenye Jimbo hilo, kwa kuanzisha mashindano mbali mbali, na kwa kweli ahadi yake ameitimiza, Japo ameanza na Soka.
Nimeona michuano mingi iliyoandaliwa na Viongozi wa kisiasa, tena wengine wamo madarakani, Lakini hayakuwahi kufikia Mwang'ombe Cup, Hakika Usishindane na Aliyejaaliwa.
Hiki hapa ni kipute cha Fainali, Jionee
Pichani ni Mgeni Rasmi Twaha Mwaipaya akifuatilia Fainali hizo