Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hutaki michezo mkuu ila kwenye supu unaenda!Wewe tafuta kazi ya kufanya
Hahahahahaahhaahhaahahahaha
Hakuna Tajiri ChawaChawa kazini!!
Hiyo ilete wewe sasa ili kuichalenji hii niliyoleta mimiMkuu
Unaifahamu Mwl Dotto Cup ya Jimbo la Bukombe, Geita ambayo inadhaminiwa na mheshimiwa Dotto Mashaka Biteko, naibu waziri mkuu, waziri wa nishati na mbunge wa Bukombe?
Hebu ifuatilie na hyo halafu ulete comparison yenye evidence
Lucas msambwanda wa mbowe huyuLiberatus Mwang'ombe Kijana wa Chadema, Aliyeporwa Ubunge 2020 huko Mbarali, katika ahadi zake kwa Wananchi ilikuwa kuhakikisha anainua Michezo kwenye Jimbo hilo, kwa kuanzisha mashindano mbali mbali, na kwa kweli ahadi yake ameitimiza, Japo ameanza na Soka.
Nimeona michuano mingi iliyoandaliwa na Viongozi wa kisiasa, tena wengine wamo madarakani, Lakini hayakuwahi kufikia Mwang'ombe Cup, Hakika Usishindane na Aliyejaaliwa.
Hiki hapa ni kipute cha Fainali, Jionee
View attachment 3058816View attachment 3058817View attachment 3058818View attachment 3058819View attachment 3058820
Pichani ni Mgeni Rasmi Twaha Mwaipaya akifuatilia Fainali hizo
View attachment 3058825View attachment 3058830
Unajitahidi kutapatapa 😆😆Liberatus Mwang'ombe Kijana wa Chadema, Aliyeporwa Ubunge 2020 huko Mbarali, katika ahadi zake kwa Wananchi ilikuwa kuhakikisha anainua Michezo kwenye Jimbo hilo, kwa kuanzisha mashindano mbali mbali, na kwa kweli ahadi yake ameitimiza, Japo ameanza na Soka.