emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,001
- 1,430
Mwani (sea moss) ni mojawapo ya mimea inayoota baharini na inalimwa sana zanzibar na mafia.
Nimeona kutoka sehemu mbalimbali wauza dawa mbadala wakiusifia mwani kutibu magonjwa mengi na kuwa chanzo kizuri cha madini joto.
Napata kigugumizi akilini kuamini bila kuwepo kwa tafiti kuthibitisha hilo. Huku nilipo Kisiwa cha Mafia, mwani unapatikana kwa wingi sana, lakini hauna soko kabisa.